Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Amani iwe kwenu.
Meya wa jiji ,DSM Isaya Mwita aliutangazia umma takribani wiki 3 zilizopita kuwa kikao cha madiwani wa jiji kimenyofoa hisa za Simon Group na kuzirudisha jiji.
Nini kinaendelea hadi sasa au mmeshalipwa hongo mmenyamaza enyi makamanda? AU Mlikuwa mnaigiza?
Mstahiki Meya wa jiji Isaya ulituahidi kazi yako ya kwanza baada ya kuapishwa ni UDA vipi kuhusu mrejesho wa hisa za Jiji?
Nakumbuka ulikuwa wewe Kubenea,Meya wa Kinondoni mlituhakikishia kabisa vielelezo mnavyo na mtabatilisha mkataba wa mauzo,vielelezo vimekwama wapi?
Mbona kubenea hakuviwakilisha bungeni siku bajeti ya TAMISEMI ikijadiliwa.Nani kawanyamazisha?
Nawasilisha.