Tetesi: Meya wa Ilala ndiye aliyemdhalilisha Rais Magufuli

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi mkubwa wa umeme wa gas. Nivile rais wetu ni mpole some time hanamuda wakukimbiza upepo umemfanya mleta mada kuleta uzushi kwa sababu zake binafsi.

Hizi ndi dharau za meya wa chama Fulani maana sikuhizi hata jina sitaki kulitaja maana soon hatuna aina ya chama hicho TZ.

Hakuudhuria huo ufunguzi na badala yake akaweka jiwe kwa niaba yake kisa chakuto hudhuria nikujuwa ataaibika maana alisha anzisha dharau tangu hapo mwanzo kwa mkuu wa nchi.

Pili huyu bwana aliwahi kunukuliwa wakati Fulani akiubeza mchango wa rais ktk shule za msingi kwa kusema hana haja na hizo pesa wakati vijana wana shida ya madawati wilaya yake.

Tatu inasemekana ni mmoja ya watu wanatia fujo ktk uchaguzi wa meya wa jiji huku akiwa mwana mtandao ndani ya chama Fulani kuharibu uteuzi wa meya wajiji.

Nne kama ilivyo kawaida yao mpango huu ulisha pangwa ili tu kumuharibia rais shughuli alienda kuifanya, ujuwe hawa jamaa tangu washindwe wana mipango ya chini kwa chini kukiujumu chama tawala lakiniwataisoma namba kama walivyo isoma namba ktk uchaguzi mwaka jana.

Poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi mkubwa wa umeme wa gas. Nivile rais wetu ni mpole some time hanamuda wakukimbiza upepo umemfanya mleta mada kuleta uzushi kwa sababu zake binafsi.
Hizi ndi dharau za meya wa chama Fulani maana sikuizi hata jina sitaki kulitaja maana soon hatuna aina ya chama hicho.

Hakuudhuria huo ufunguzi na badala yake akaweka jiwe kwa niaba yake kisa chakutoudhuria nikujuwa ataabika maana alisha anzisha dharau tangu hapo mwanzo kwa mkuu.

Pili huyu bwana aliwahi kunukuliwa wakati Fulani akiubeza mchango wa rais ktk shule za msingi kwa kusem hana haja na hizo pesa wakati vijana wana shida ya madawati.

Naona inalazimisha upewe ukuu wa Wilaya. Kwa hoja hizi hutafanikiwa. Jaribu kutoa VITU maalum
 
Eti fujo ktk uchaguzi wa meya wa jiji ........................................teh teh teh ngoja nikakojoe nilale mie.
 
Hawa UKAWA sijui wakoje? Bungeni Viongozi Wakuu wa UKAWA walimsusia JPM sasa huku wamejileta kufanya nini? Ule mwaliko ulikuwa formality kama ile ya "Jirani karibu tule".kwny kukata Utepe JPM alimtaka Mwnykt wa CCM Mzee Madabida awepo kuonesha heshma kwa CCM. Mliosubiri akipotezee CCM mtasubiri sana na subirini June akikabidhiwa Chama. Waulizeni Chato watakupeni habari zake.
Jk alilea sana hawa Wahuni mpaka wakakaribishwa kuinajisi Ikulu. Hata Changamoto ya Znz leo ililetwa na Uamuzi wake wa kushinikiza Mseto Znz na Watu wasiofaa wakati Chama kilimkatalia.
 
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi mkubwa wa umeme wa gas. Nivile rais wetu ni mpole some time hanamuda wakukimbiza upepo umemfanya mleta mada kuleta uzushi kwa sababu zake binafsi.
Hizi ndi dharau za meya wa chama Fulani maana sikuizi hata jina sitaki kulitaja maana soon hatuna aina ya chama hicho.

Hakuudhuria huo ufunguzi na badala yake akaweka jiwe kwa niaba yake kisa chakutoudhuria nikujuwa ataabika maana alisha anzisha dharau tangu hapo mwanzo kwa mkuu.

Pili huyu bwana aliwahi kunukuliwa wakati Fulani akiubeza mchango wa rais ktk shule za msingi kwa kusem hana haja na hizo pesa wakati vijana wana shida ya madawati.

Tatu inasemekana ni mmoja ya watu wanatia fujo ktk uchaguzi wa meya wa jiji huku akiwa mwana mtandao ndani ya chama Fulani kuharibu uteuzi wa meya wajiji.

Nne kama ilivyo kawaida yao mpango huu ulisha pangwa ili tu kumuharibia rais shughuli alienda kuifanya, ujuwe hawa jamaa tangu washindwe wana mipango ya chini kwa chini kukiujumu chama tawala lakiniwataisoma namba kama walivyo isoma namba ktk uchaguzi mwaka jana.

Poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mleta uzi unaonekanika una wivu sana na vyama vya upizani... Yaani unaonesha live kabisa wivu wako... Hii siyo poa kabisa, coz bila upizani hata leo hii ucngemwona hata magufuli leo akiwa Rais.. Au hata kasi ya utekelezaji wake ungekua hivi bila upizani, mtu mwenye akili kila siku anaomba upizani ubaki imara. Thus why hata Nyerere pamoja na watazania kutaka chama kimoja akaamua aruhusu vyama vingi... Sasa wewe dah... Yaani una wivuuuh aise.... Cjui ukiibiwa m-ke itakuwaje....
 
Hawa UKAWA sijui wakoje? Bungeni Viongozi Wakuu wa UKAWA walimsusia JPM sasa huku wamejileta kufanya nini? Ule mwaliko ulikuwa formality kama ile ya "Jirani karibu tule".kwny kukata Utepe JPM alimtaka Mwnykt wa CCM Mzee Madabida awepo kuonesha heshma kwa CCM. Mliosubiri akipotezee CCM mtasubiri sana na subirini June akikabidhiwa Chama. Waulizeni Chato watakupeni habari zake.
Well said mkuu,
Sasa hivi wao wanaanza kujifanya wapigania haki za binadamu na sio wapinga ufisadi Tena
 
Mzee wa Monduli amesema Rais hana maono.

Me nashukuru kuona Mzee wa Monduli, Watanzania wengi tumempuuza!
Kwa ujumla inabidi Wapinzani wanapaswa kujipanga sana kama bulldozer litaendelea kwa kasi hii.
Sijui nini itabaki hoja yao kuu, maana ufisadi waliishaukumbatia wao huko
Mzee wa Monduli amesema Rais hana maono.

Me nashukuru kuona Mzee wa Monduli, Watanzania wengi tumempuuza!

Mzee wa Monduli amesema Rais hana maono.

Me nashukuru kuona Mzee wa Monduli, Watanzania wengi tumempuuza!
 
Unaposoma bandiko hili yatakiwa uwe umepitia kuwa mwalim wa chekechea. Uanze kukadilia hapa mwanafunzi wangu alitaka kumaanisha hv!! Daaa pole sana maana makosa ni mengi hata sehem ya kukosoa unakosa !!
 
Back
Top Bottom