Meya wa Ilala, Charles Kuyeko(CHADEMA), ajiuzulu Udiwani na kujiunga CCM

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Meya wa Ilala Charles Kuyeko ametangaza kujiuzulu

"Rais Magufuli ni mtu wa kuigwa, anastahili sifa na kazi ya kutukuka, nawaheshimu Viongozi wa CHADEMA kwa kunipa nafasi, nawashukuru na nitaendelea kuwaheshimu lakini mapenzi yangu ya dhati ni CCM"

FB_IMG_1553355867727.jpg
 
Ni bahati mbaya sana hadi leo tarehe 23/03/2019, watu kama akina Yericko Nyerere bado wanaamini adui wao ni Zitto Kabwe!!

Ukiwauliza hawa uadui wa Zitto Kabwe unatokana na nini hasa sidhani kama kuna mwenye jibu sahihi kwa sababu kila mwenye akili timamu anafahamu uadui huu wa Zitto Kabwe dhidi ya upinzani ulienezwa na watu ambao miongoni mwao hivi sasa wanakula matunda ya CCM!
 
UPDATES: Meya wa Ilala Charles Kuyeko ametangaza kujiuzulu "Rais Magufuli ni mtu wa kuigwa, anastahili sifa na kazi ya kutukuka, nawaheshimu Viongozi wa CHADEMA kwa kunipa nafasi, nawashukuru na nitaendelea kuwaheshimu lakini mapenzi yangu ya dhati ni CCM" #MillardAyoBREAKING
Asante kwa taarifa hii, siku hizi kuongozi wa upinzani kuhamia CCM is not news, imezoeleka, tumpongeze tuu kwa uamuzi huu, maana sasa ndio amejitambua, ameona mbali and did the right thing.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Wapinzani wengine wote wenye future na politics kwa huku bara kuelekea 2020, wana only one option, kujitambua, kuunga mkono juhudi na kujiunga CCM
P
 
UPDATES: Meya wa Ilala Charles Kuyeko ametangaza kujiuzulu "Rais Magufuli ni mtu wa kuigwa, anastahili sifa na kazi ya kutukuka, nawaheshimu Viongozi wa CHADEMA kwa kunipa nafasi, nawashukuru na nitaendelea kuwaheshimu lakini mapenzi yangu ya dhati ni CCM" #MillardAyoBREAKING
Tunaweza kupata tathmini ya hali ya majimbo baada kujitoa upinzani na kurudi CCM?
 
Back
Top Bottom