DU!Habari za kiinteligensia kutoka AR zinasema Lyimo Meya wa CCM ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la Walei likongozwa Parokia Ya Kijenge ikiongozwa na Marehemu Sam Mdee, na Mzee mwingine aitwae Makeba waliwanyanyasa mapadre watawa kutoka Kongo kiasi cha kuwadhalilisha mbele za waumini . Mapdre hao waliondoka wakilia machozi na kusema sala zao zitawahusu akina Lyimo, Sam Mdee na Makeba.
Hata wachangiaji mkisema ni majungu au vipi shauri yenu. Ila sala za Mafadha hao kweli zimejibu. Mdee alikabwa na mfupa wa Kuku akafa two years ago. Makeba ni mgonjwa wa miguu kitandani mwaka wa pili hawezi kunyanyua mguu. Yuko kwenye wheel chair .
Lyimo kashaingiza Arusha kwenye janga la mauaji. Na bado anang'ngania madaraka ya wizi huku wakuu zake akina Makamba na Chatanda wakiwakebehi watu wa Mungu kupitia yeye.
Nawasilisha
Habari za kiinteligensia kutoka AR zinasema Lyimo Meya wa CCM ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la Walei Parokia Ya Kijenge likongozwa na Marehemu Sam Mdee, na Mzee mwingine aitwae Makeba waliwanyanyasa mapadre watawa kutoka Demokrasia YA Kongo kiasi cha kuwadhalilisha mbele za waumini . Mapdre hao waliondoka baada ya kushindwa kuvumila huku wakilia machozi na kusema sala zao zitawahusu akina Lyimo, Sam Mdee na Makeba.
Hata wachangiaji mkisema ni majungu au vipi shauri yenu. Waumini wa Kijenge bila shaka ni mashahidi wa hili. Na sala za Mafadha hao kweli zimejibu. Mdee alikabwa na mfupa wa Kuku akafa two years ago. Makeba ni mgonjwa wa miguu kitandani mwaka wa pili hawezi kunyanyua mguu. Yuko kwenye wheel chair .

Why now, mngeitoa wakati muafaka. Something wrong somewhere.

kweli usilolijua ni sawa na kiza.... Hii kashfa ya gaudence ni kuanzia 2000 mtafuteni fr.tarimo wa njiroCRAP!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi jamani ugreat thinker wetu upo wapi? mtu anakuja na stori haina kichwa wala miguu kwa stori za kuunga unga.
Alipo hojiwa slaa kuhusu madudu yaliofanyika akiwa padri tulikuwa wakwanza kung'aka tusihusishe upadri wake na siasa.
Inatosha kusema jinsi alivyopora ushindi wa umeya na si kutuletea imani yako, unadhani wote wanaamini mungu unvyoamini wewe.
Great thinkers now days wanakuwa wanendeshwa hata na machizi ilimradi tu upost kitu wanachopenda kusikia wao hata kama hakina mantiki yoyote, basi watachangia tu kwa kuunga mkono.
CRAP!!!!!!!!!!!
kweli usilolijua ni sawa na kiza.... Hii kashfa ya gaudence ni kuanzia 2000 mtafuteni fr.tarimo wa njiro
CRAP!!!!!!!!!!!!!!!!!