Meya wa CCM Gaudence Lyimo a.k.a Gaimo na mapadre wakongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya wa CCM Gaudence Lyimo a.k.a Gaimo na mapadre wakongo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mfamaji, Jan 11, 2011.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Habari za kiinteligensia kutoka AR zinasema Lyimo Meya wa CCM ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la Walei Parokia Ya Kijenge likongozwa na Marehemu Sam Mdee, na Mzee mwingine aitwae Makeba waliwanyanyasa mapadre watawa kutoka Demokrasia YA Kongo kiasi cha kuwadhalilisha mbele za waumini . Mapdre hao waliondoka baada ya kushindwa kuvumila huku wakilia machozi na kusema sala zao zitawahusu akina Lyimo, Sam Mdee na Makeba.

  Hata wachangiaji mkisema ni majungu au vipi shauri yenu. Waumini wa Kijenge bila shaka ni mashahidi wa hili. Na sala za Mafadha hao kweli zimejibu. Mdee alikabwa na mfupa wa Kuku akafa two years ago. Makeba ni mgonjwa wa miguu kitandani mwaka wa pili hawezi kunyanyua mguu. Yuko kwenye wheel chair .

  Lyimo kashaingiza Arusha kwenye janga la mauaji. Na bado anang'ngania madaraka ya wizi huku wakuu zake akina Makamba na Chatanda wakiwakebehi watu wa Mungu kupitia yeye.

  Nawasilisha
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  inatisha
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  DU!
  Hakuna chombo chochote kilichoongelea hili ukakinukuu mkuu?
  Mbona ni ishu kubwa hii?
  Hao Mapadre walinyanyaswaje na hawa baradhuli?
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kumbe huyu jamaa ni mafia eeeh?
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  huyo aliekabwa mfupa ni pale sakina bar? Kwenye kuku wa kuchoma...huyu anae ng'ang'ania u-meya atakufa vibaya
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona hii ishu ya kukabwa na mfupa inahusiana na kula fedha za kujenga cathedral pale AR.does it mean Lymo alihusika?leteni details jamani...
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Why now, mngeitoa wakati muafaka. Something wrong somewhere.
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  mwisho wa ubaya ni aibu
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona hii ishu ya kukabwa na mfupa inahusiana na kula fedha za kujenga cathedral pale AR.doer it mean Lymo alihusika?leteni details jamani...
   
 10. m

  msham Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inatisha sana jamani, nadhani hata yeye anatamani kujiudhulu lakini shinikizo tu la chama chake.
   
 11. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kinyaa
   
 12. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Something wrong kwa kweli. Na hiyo something ndiyo hii tunakuambia leo ujue ni kwa nini pamoja na kuhujumu uchaguzi huyu naye ni fake kimaadili. Alikuwa Diwani pia na madudu aliyofanya huko yataletwa muda sii mrefu.
   
 13. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Malipo yako hapa hapa Duniani ukimtenda mwenzio nawe utatendwa tuuu hakuna ku escape kwa ubaya ulioufanya kwa wenzio

   
 14. M

  Mantisa Senior Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33  Source hapa jamani. Ni kweli jamaa alikabwa na mfupa akafa na Makweba ni mgonjwa kwa muda sana na anatembelea wheelchair ila mbona sisi waumini wa Kijenge hatujawahi kuipata hii?? Source ni wapi?
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sometimes tunapata shida na watu kumbe wana laana zao,hata kwa ndugu ukikuta mtu alisemewa neno na baba yake au mtumishi waga wanakuwa ni mzigo sana kwa familia sasa ndo ya huyu?Gaudence ni contractor mkubwa,hawezi kuwa safi kuwa hapo alipo na kung'ang'ania kubaki hapo,anawekwa hapo na wala rushwa wenzie ambao wanajua Arusha ikienda upinzani mengi yatafichuka na mapato yao yatakuwa mashakani,it is as simple as that.
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  CRAP!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Hivi jamani ugreat thinker wetu upo wapi? mtu anakuja na stori haina kichwa wala miguu kwa stori za kuunga unga.
  Alipo hojiwa slaa kuhusu madudu yaliofanyika akiwa padri tulikuwa wakwanza kung'aka tusihusishe upadri wake na siasa.
  Inatosha kusema jinsi alivyopora ushindi wa umeya na si kutuletea imani yako, unadhani wote wanaamini mungu unvyoamini wewe.
  Great thinkers now days wanakuwa wanendeshwa hata na machizi ilimradi tu upost kitu wanachopenda kusikia wao hata kama hakina mantiki yoyote, basi watachangia tu kwa kuunga mkono.
  CRAP!!!!!!!!!!!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli usilolijua ni sawa na kiza.... Hii kashfa ya gaudence ni kuanzia 2000 mtafuteni fr.tarimo wa njiro
   
 18. P

  Paul S.S Verified User

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hizi ndio siasa za majitaka tulizokuwa tunaongela dhidi ya dr slaa.
  Hivi inaingia akilini kusema Mungu analipiza hapa duniani kwa yaliyotokea arusha kwasababu aliwanyanyasa mapadri wenzake, na unaweza linganisha yaliyotokea arusha ni adhabu endelezi ya Mungu kama aliyowapa wenzake aliekwama na mfupa na kufa na anayeumwa miguu taabani.
  THIS IS CRAP!!!
  Ni mapadri wangapi wanabaka na hatuoni hizo adhabu za Mungu, niwangapi wamezalisha wanakwaya na waumini wao na wanawanyanyasa wasijulikane nambona hatuoni hizo hukumu kutwa tunashinda nao.
  Hizo ni imani zenu tu, hakuna upuuzi kama huo mkuu
   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  upinzani mengi yatafichuka na mapato yao yatakuwa mashakani,it is as simple as that

  Michelle samahani mficha uchi hazai, Mimi ni kijana nina miaka 35 ninatafuta mke wa kuoa naomba nikuchumbie kama hujaoleowa nimekuzimia. Nijibu nikitumia namba yangu.

  Mapenzi ni kikohozi
   
 20. N

  Nyota Njema Senior Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rafiki yetu ama kweli wewe ndo crap, ushahidi wote huo unaotolewa na wadau wewe bado unang'ang'ana na hoja za kijinga huku unajificha katika u great thinker? Toka lini crap akawa great thinker? Matope matupu!
   
Loading...