Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Kwa habari nilizopata kupitia kurasa yake ya facebook ,Meya wa Bukoba alitoka safari akakuta bastola yake haipo nyumban,akaenda kutoa taarifa polisi,uko akawekwa ndani kwa uchunguzi zaidi
Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.He kosa lake lipi kutoa taarifa ama kumiliki kinyume cha sheria hawa policcm
Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.
Wewe hujauliza swali kwakutaka kujua ila kwa kulaumuPole ww ni mdogo wake ama sgemeji yake kaswali kama hako kujib unajitutumua unajipanga kama tunapambana jb swali ukiona gumu wenzako watakusaidia kujib
Wewe hujauliza swali kwakutaka kujua ila kwa kulaumu
He kosa lake lipi kutoa taarifa ama kumiliki kinyume cha sheria hawa policcm
Kwa habari nilizopata kupitia kurasa yake ya facebook ,Meya wa Bukoba alitoka safari akakuta bastola yake haipo nyumban,akaenda kutoa taarifa polisi,uko akawekwa ndani kwa uchunguzi zaidi
Yaaani upo police umeshikiliwa huku unachat kwenye facebook basi hiyo kituo ipo njema.
Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.