Meya wa Bukoba Dr Anatory Aman awekwa ndani kituo cha polisi Bukoba

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Kwa habari nilizopata kupitia kurasa yake ya facebook ,Meya wa Bukoba alitoka safari akakuta bastola yake haipo nyumban,akaenda kutoa taarifa polisi,uko akawekwa ndani kwa uchunguzi zaidi
 
Kyeza na polisi yeye!
Halafu anabahati, angekutana na Kova wa Kanda maalum, woooi!!!
 
Aiss...kwani nyumbani kwake anaishi na wezi au imeibiwa katika mazingira gani!!
 
Duh hii ni hatari sana mimi nilikuwa na mpango wa kununua sasa ikipotea mimi naenda kutoa taarifa namweka ndani ni shida.
 
eeenh kwahiyo ndo kajiibia au!?? akitoka humo huyo mkuu wa kituo atapewa majukumu mara 10 yake
 
He kosa lake lipi kutoa taarifa ama kumiliki kinyume cha sheria hawa policcm
 
Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.

Pole ww ni mdogo wake ama sgemeji yake kaswali kama hako kujib unajitutumua unajipanga kama tunapambana jb swali ukiona gumu wenzako watakusaidia kujib
 
He kosa lake lipi kutoa taarifa ama kumiliki kinyume cha sheria hawa policcm

Kosa ni silaha kupotea ikiwa ndani ya miliki yake.ana hatia mpaka itakapopatikana ikiwa haina tukio wala malalamiko.
 
Ndio ilivyo lazma uwekwe ndani mpka upelelezi ukamilike.unaweza kuta imefanya tukio so police lazma wajue imepotea kwenye mazingira gani
 
Kwa habari nilizopata kupitia kurasa yake ya facebook ,Meya wa Bukoba alitoka safari akakuta bastola yake haipo nyumban,akaenda kutoa taarifa polisi,uko akawekwa ndani kwa uchunguzi zaidi

Yaaani upo police umeshikiliwa huku unachat kwenye facebook basi hiyo kituo ipo njema.
 
Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.

...mkuu kwa Utendaji wa Polisi mjini Bukoba nami sina imani nao kwa ujumla' kuna kesi nyingi wanafunguligwa wananchi nikwa uonezi tu!
"juzi kati kuna mlevi mmoja alivamia nyumba ya watu na kujificha chooni, wakamkuta anauchapa uzingizi, alipofukuzwa' akaenda kushitaki polisi kuwa alitekwa! Polisi kwa kutaka fedha za haraka wakaenda kuwatishia kuwakamata wenye nyumba bila kufanya hata uchunguzi, na kufungulia mashitaka ya kuteka nyara!"
 
Back
Top Bottom