Meya Silaa Akacha mkutano Ilala Kota

Siwezi kumshangaa maana hata rais wake ukimbia midaharo! Sas unategemea yeye ajifunze nini?

Ikiwa siku tatu za matangazo juu ya ujio wa meya wa Jiji Jerry Silaa jiji laDar es salaam, wanahci walimsubiri kwa hamu sana, kulikuwepo hoa mbali mbali ambazo alitakiwa kuzijibu, hoja mojawapo ni kuhusu kupanda kwa kodi ya kuzoa taka toka 1000 mpaka elfu 10,000.00 wengine kutoa 30,000.00 hadi 200000.00 hawa ni wenye mahoteli, kingine agenda ya mgambo kutoza fedha kama hongo kwa wapanga bidhaa barabarani hasa wale waliopewa leseni na vodacom/tigo kufanya bishara ya kupokea na kutuma pesa ili hali kuna watu wanalipa kodi kwa serikali na kodi ya pango, kingine kuwa hawa wafanyabishara ndogo ndio wazalishaji uchafu kwa wingi na hawalipi kodi kwa mtu yeyeto. watu waliendelea kulalamika kuwa pesa zikusanywazo zina mkono wa mtu, kwani ni kiasi kikubwa muno. Awali mwenyekiti alisema viwango hivyo vimewekwa na madiwani na wazir mkuu kusaini sheria hii. watu wanohoji, kodi hii kuwa kubwa na hali bado jiji ni chafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom