Meya na Mkuu wa Mkoa, ni nani inapaswa awe juu?

Hili swali limeulizwa na mtu mwenye akili timamu ama na hawa walevi waliojazana JF! Maana siamini mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza swali lililo wazi kama hili. Ni sawa na kuuliza kati ya mwenyekiti na katubu Mkuu CHADEMA nani ni mkubwa
U-DC umekupumbaza akili.
 
MACCM ni chanzo cha matatizo yote nchini. Gharama hizi za mabilioni zingeweza kabisa kuelekezwa kwenye mambo mengine yenye umuhimu mkubwa zaidi kwa Watanzania,

ni kweli yani ukienda ofisi za mkoani unakuta kuna jitu linaitwa mkuu wa mkoa,, then kuna katibu tawala wa mkoa (RAS) huyu ndio msimamizi na ndio mwenye pesa za mkoa na hata mkuu wa mkoa hana cha kusema lolote,, ukienda wilayani pia kuna katibu tawala wa wilaya nae pia kuna mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa manispaa.
 
Sasa unachokisema ni matusi na pengine kwa sababu tu ya wivu wa Makonda kuwa RC huku wewe ukiswaga lami na yeboyebo. Siyo mimi niliyemkataza baba yako asikupeleke shule. Mlaumu baba yako.
Kwani Makonda amepewa ukuu wa mkoa sababu ya kwenda shule? Acha kujitoa ufahamu. ..alipata uteuzi baada ya kumchapa makofi Jaji warioba na kumtukana Lowasa.
 
Meya cha mtoto. Mkuu wa mkoa ni Rais wa mkoa na anapolala ni Ikulu ya sehemu hiyo. Meya ni diwani tu.
 
wewe mkimbiza mwenge wa lumumba acha ukilaza wako wewe,,, huyo sio mkuu wa kaya ya dar es salaam yeye ni mke wa mkuu wa kaya kama ulivyo sema ndio maana siku hizi tumbo lake limekuwa kubwa,, tutarajie kakilaza kama wewe kuzaliwa,,, unajua nyie watoto mliopatikana kwenye mikesha ya mwenge ndio tatizo lenu hapo linakuja
Umenikumbusha kitu mwenge umesababisha watoto wa mitaani wengi sana aisee.
 
Hili swali limeulizwa na mtu mwenye akili timamu ama na hawa walevi waliojazana JF! Maana siamini mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza swali lililo wazi kama hili. Ni sawa na kuuliza kati ya mwenyekiti na katubu Mkuu CHADEMA nani ni mkubwa
Wewe una Akili zipi? Ulianza kuishi gheto Kwa Membe ukala pesa za NIDA na za marehemu Gadafi wee.. Ukamtukana sana Lowasa , baada ya kampeni Membe kakufukuza ukahamia Kwa Lugumi na kitwanga ukala pesa zao ukijidai kuwatetea mitandaoni walipokuchoka wakakutoa nduki ukakimbilia nyumbani Kwa Dau wa NSSF kula pesa za daraja napo akakuchoka haraka ukaenda Kwa Lipumba mmechukua pesa za ccm na zingine za Membe ili Lipumba aivuruge CUF kisha ukawa idhoofike na Membe apate kujifariji na wenzake akina JK na madalali wa siasa wenzako akina February , Nape, mwakyembe nk.
 
Mnashusha hazi ya huku jf jamani. maswali mengine ulizaneni huko huko, hivi mfano, niko hapa arusha, meya anaweza kwenda kusimamia mambo yanayotokea wilaya ya karatu, au ngorongoro, uijibu hilo swali utajua kati ya mkuu wa mkoa na meya nani yuko juu
Hadhi ipi imeshuka ? Yaani kuuliza swali ni kushusha Hadhi ? Mkeo akikuuliza kitu asichokijua anashusha Hadhi ya ndoa? Kihalisia Meya ni mkubwa kicheo maana yeye kachaguliwa na ameshikilia pesa za maendeleo ya mkoa, lakini katika katiba mbaya kama ya Tanganyika mkuu wa mkoa anaonekana ni boss mkubwa japo ni cheo cha kazawadiwa wakati mwingi hutolewa Kama fadhila baada ya mtu kuwafanyia Vitimbi wapinzani . Tusiende mbali cheki Hapo Kenya wao hawana mkuu wa mkoa hata kule South Africa kwenye maendeleo hawana wakuu wa mikoa mameya ndiyo mpango mzima .
 
Dunia ya sasa ya sayansi vyeo vya mkuu wa mkoa ni Ufujaji wa pesa za umma bora angalau wakuu wa wilaya wabaki lakini wakuu wa mikoa ni kuchezea pesa , tujifunze UK , USA au hata Hapo south Afrika tu , wao hutumia majimbo yakiwa na Gavana au meya kuongoza hawana wakuu wa mikoa kabsa isipokuwa wilaya zipo .
 
Huyo mzee (warioba) ni corrupt tu!! Sioni umuhimu wa kumnukuu,
Mwanae kishapewa ukuu tayari.
mwanae Warioba ukuu wake wa wilaya uwe tofauti na Mawazo ya Mzee Warioba maana Sidhani Kama alienda kuomba hiyo mwanae awe mkuu wa wilaya , tunaomba Huyo Mzee abakie na msimamo wake tu kuwa wakuu wa mikoa hawafai kuwepo tena katiba mpya ije haraka tufute hivyo vyeo haraka ili Makonda Akonde akawe konda kwenye basi la Liz .
 
katiba mpya ije haraka ifute hicho cheo cha kupeana Kama fadhila baada ya mtu kuwafurahisha wateuzi Kwa Vitimbi vyake juu ya wapinzani Kama alivyokuwa alifanya Makonda hapo awali.
 
Hadhi ipi imeshuka ? Yaani kuuliza swali ni kushusha Hadhi ? Mkeo akikuuliza kitu asichokijua anashusha Hadhi ya ndoa? Kihalisia Meya ni mkubwa kicheo maana yeye kachaguliwa na ameshikilia pesa za maendeleo ya mkoa, lakini katika katiba mbaya kama ya Tanganyika mkuu wa mkoa anaonekana ni boss mkubwa japo ni cheo cha kazawadiwa wakati mwingi hutolewa Kama fadhila baada ya mtu kuwafanyia Vitimbi wapinzani . Tusiende mbali cheki Hapo Kenya wao hawana mkuu wa mkoa hata kule South Africa kwenye maendeleo hawana wakuu wa mikoa mameya ndiyo mpango mzima .

wewe ujielewi kalale, kwa hiyo hata diwani ni atakuwa yuko juu ya mkuu wa mkoa kwa sababu amechaguliwa na wananchi sawa sawa na waliomchagua meya, huko kenya na south wao wana masenator na governors kwanza kwenye the same territory(govonor, senator mayor, mbunge na inawagarimu kweli
 
UKAWA MMEZIDI UTOTO
Utoto ndiyo nini? Ukubwa wenu umelisaidia nini Taifa ? Miaka 50 Nchi haina maendeleo pesa zote zinatumika kuilea, kuigharamia, kuilinda Zanzibar huo ndiyo ukubwa wa ccm ? Bado upo Kwa Lugumi au ? Vipi Chenji ya Bunge la katiba na ile Chenji ya Rada mligawana wote ? Walikupa chako ? au unangojea Mgao pesa iliyotoka sasa Kwa Ajili ya kumpatia Lipumba akavuruge CUF .
 
Back
Top Bottom