autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Meya mwenye utata wa mji wa Toronto, Rob Ford amesema kuwa atachukua mapumziko ya muda ili kutatua tatizo lake la ulevi
Mwaka uliopita Meya Rob Ford alikiri kuwa alikuwa akitumia mihadarati akiwa meya baada ya kukataa kwa miezi kadhaa kuvuta midarati hiyo wakati anapolewa ambapo pia alipinga wito wa kumtaka ajiuzulu."

meya ford haishivituko angalia picha hapa chini akicheza wimbo wa bob marley "one love"