Gobret
JF-Expert Member
- Jun 11, 2010
- 320
- 88
Kibinadamu kifo kinapomsibu mwenzetu; watu hutoa pole kwa wale waliofikwa na umauti. Pamoja na kwamba tuna tofauti zetu kimtazamo n.k. Hapo tunavumiliana hata kama ulikuwa unamdai marehemu. Siku hizi kuna mambo ya ajabu kweli, maana utakuta kwenye msiba wasihusika na msiba ndio wanaolia sana utadhani wamefiwa wao, kumbe wizi mtupu.
Mfano; mleta hoja hii hana kosa maana anayosema si anayodhani yeye bali watu husika wa eneo husika jinsi walivyolipokea taarifa ya msiba. Haijalishi ni watu gani hata kama wangekuwa CCM au CHADEMA. Akifa mtu shughuli au mambo mengine hayawezi kusimama maana kila mtu anajali maslahi yake. Wenye kudhani ndio muda mwafaka ni juu yao; sidhani kama kuna pingamizi hapo. Ni ubinadamu tu ndio utumike.
Na wewe unayejiita 'hands-up' uache utoto wa hoja za kishenzi; elewa hoja ya mleta hoja ndipo uchangie. Usiturudishe kwenye hoja za "eti mimi mzuri". Sijasahau labda uondoe hilo jina.
Ubadilike.