Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
Gari ambayo imezinduliwa Leo na Meya wa ilala na kua Ambulance katika hospital ya Tabata iliyonunuliwa Kwa Gharama iliyotajwa ni sh 13,585,000/=
Hyo ni gar ya mil 13 tena used
Not sure ni msg gani unataka kututumia wasomaji! Ni kwamba gharama ni kubwa sana kuliko quality ya gari au ni kinyume chake?
pumba.kikwete mhuni sana aliahidi atagawa ambulance za matairi matatu nchi nzima mpaka leo imebaki story tu licha ya hizo ambulance kutowafaa watanzania kutokana na barabara zetu...ushauri wangu kikwete atumie yeye hiyo ya magurudumu matatu maana naona siku hizi mikutano yake huwa na ambulance.....
Hivi wewe huoni ni Udhalilishaji kwa waTanzani kama CHAMA kinauwezo wa kununua Landcruise Mkonga zaidi ya 200 na kuzisambaza Nchi Nzima, na hapo hapoa wanshindwa Kununua Hata AMBULANCE ya MAANA(LANDCRUISERS) kwa Ajili ya Ambulance hata kwa Hopsitali za MIKOA, na kinachobakia wansubiri MISAADA.
Mkuu chama hakijanunua land cruser hizo ni zile Za mradi wa visima vya maji from world bank. Take it from me
Gari ambayo imezinduliwa Leo na Meya wa ilala na kua Ambulance katika hospital ya Tabata iliyonunuliwa Kwa Gharama iliyotajwa ni sh 13,585,000/=
![]()
![]()
![]()
Mkuu chama hakijanunua land cruser hizo ni zile Za mradi wa visima vya maji from world bank. Take it from me
Suzuki carry van haizidi million 6 labda hvyo ving'ora vimefikisha gharama hapo.
Cc 900 itakimbiza mgonjwa kweli! ?
hao ndio viongozi wetu wamejaa utaperi kila wanachofanya mungu awa fumbue macho watz waone ujinga wanaofanyiwaCc 900 itakimbiza mgonjwa kweli! ?