Leo katika ibada ya ijumaa kuuya moja wa madhehebu iliyofanyika katika uwanja wa shekh Abed jijini Arusha na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Isidori Shirima pia kulikuwa na viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa, maaskofu na wachungaji.
Cha kushangaza ni kwamba meya wa Arusha alikuwepo lakini hata kutambulishwa hakutambulishwa wakati viongozi wengine walitambulishwa kwa majina kweli inaonyesha ni jinsi gani huyu meya hakubaliki yaani ni afadhali angekaa nyumbani kuliko kuja hapo maana watu wasiomjua hawakujua Kama meya alikuwepo na alikaa meza kuu nawailisha.
Alikuwa nyuma ya viongozi wengine ndo maana alikaa meza kuu.
Mi simtambui km meya, then nawasiwasi na siasa zake!
Watu wenye akili zao wanajua kuwa kumtabulisha huyu jamaa kungeharibu shughuli yote. Nafikiri hali hii aliyonayo huyu meya ndiyo inayomkuba mkuu wa nchi hasa ukiwa unajua fika kuwa hukupatikana kihalali, yaani wewe ni product ya chakachua. Uongozi ni kuongoza watu, katika nchi za demokrasia ya kweli huyu meya angekaa pembeni kwa sababu hana public support, ila katika nchi ya kuone vyeo ni ulaji ni dhahiri anang'ang'ania kwa masilahi binafsi tu. Ndiyo maana Tanzania under CCM hatutaenda popote zaidi ya kurudia pre-colonial era stage, maana kuna baadhi ya barabara za rami mijini zilijengwa na wakoloni na tokea waondoke zimeachwa na kurudia hali yake ya kabla ya kujengwa.
Mkutano gani tulisusia?,mbona unakurupuka?Chadema walielekezwa sehemu tofauti ya uchaguzi na kwingine ccm wakafanya uchaguzi peke yao bila kufuata utaratibu. Usiandike kitu huna uhakika nachoSuala la umeya wa Arusha limefkia mwisho. Cdm mlichemsha kwa kususia mkutano halali. Hanna la kufanya maana hata mahakamani mmechelewa poleni.