Mexico: Polisi wanene kufukuzwa kazi

Mexico: Polisi wanene kufukuzwa kazi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,880
Reaction score
8,292

Maafisa wa polisi wanaotaka kujiunga na kikosi kipya cha ulinzi wa taifa nchini Mexico wamepewa hadi miezi sita kupunguza uzani la sivyo wafutwe kazi.

Maafisa hao wamepewa agizo hilo wanapoendelea na shughuli ya kukabiliana na wahamiaji haramu.

Maafisa 625 tayari wamefeli vigezo vya kiafya vya kujiunga na kikosi hicho kitakachohudumu katika mpaka wa Kaskazini na Kusini mwa nchi hiyo kwa miezi sita au zaidi, lilisema gazeti la El Financiero katika ripoti yake.

Maafisa ambao hawatafikia vigezo hivyo watalazimika kubaki katika vitengo vingine vya ulinzi wa taifa lakini pia wanakabiliwa na tishio la kufutwa kazi kwasababu kuna mpango wa kuunganisha idara ya polisi na vitengo vingine vya ulinzi kufikia mwisho wa mwezi Juni.

Taarifa hiyo ilifichuka baada ya kanda ya rekodi yenye sauti ya kamanda wa polisi Raúl Ávila Ibarra, iliyovujishwa kupatikana na gazeti la El Universal.

Katika kanda hiyo afisa huyo wa ngazi ya juu anasikika akijaribu kuwashawishi maafisa wadogo kujiunga na na kitengo kipya cha huduma ya uhamiaji huku akiwaelezea kuwa kitengo hicho kipya kinalipa vizuri kuliko chao polisi ".

"Wengine wetu tulio na uzani mkubwa tuna hadi miezi sita kubuni mbinu ya kufukia masharti tuliyopewa," Bw. Ávila Ibarra alisikika akisema
 
Polisi Wetu Ni Wanene kwa sababu wanafakamia bia na mapochopocho yasiyoweka mwili katika uwiano.
 
Safi sana.Hata mimi nimekuwa najiuliza Polisi wanene wanawezaje kuwa efficient kazini,hasa ukizingatia kwamba kazi zao ni kama mazoezi full time.Nimekuwa najiuliza pia katika mazingira hayo wanakuaje wanene.Kiukweli kuna jambo haliko sawa katika utendaje wao ndio maana wanakuwa wanene.Okay,wenzetu wamewapa sharti la kuondokana na unene au vibarua viote nyasi,sisi tutawavumilia mpaka lini kwa kuw ni wazi kwamba kwa nature ya kazi yao hawapaswi kuwa wanene.
 
Nimeikumbuka Avatar ya funzadume
Kuna mtu ananiita?
1143584
1561974941941.png
1561974941941.png
1561974941941.png
1561974941941.png
1561974941941.png
1561974941941.png
1561974941941.png
 
Back
Top Bottom