Mexico inataka kujiunga BRICS

Yupo Njiani kujiunga, Nadhan BRICS katika inchi zitazofanyiwa haraka mchakato wa kujiunga ni saud ,Kuna mirija ya marekani pale lazima wamwagie mfuta ya taa.

Tayari Saudi kashamvimbia marekani anaacha kutumia dollar.
Mke na mume hawavimbiani....subiri tuone hiyo saudia itafanya manunuzi ya nje kwa hela gani.
Hao wafalme wanaotawala SAUDI siku wakikosana kikweli na marekan siku zao za kutawala zitakuwa ukingoni
 
Mke na mume hawavimbiani....subiri tuone hiyo saudia itafanya manunuzi ya nje kwa hela gani.
Hao wafalme wanaotawala SAUDI siku wakikosana kikweli na marekan siku zao za kutawala zitakuwa ukingoni
Hii ni myth. Kwani utawala wa Mullahs wa Iran umekosana na USA lini? Mbona upo tu mwaka wa 40+ huu?

Manunuzi nje itafanya kwa kutumia Euro ,dollar, Yuan au hela yao wenyewe depending na hiyo bidhaa anainunua wapi. Kwa mfano kama trade ni kati ya Saudia na India kuna sababu gani ya kutumia Dollar?
 
sasa si muungano wa kishoga huo , yaan jina la muungano linawabeba wachache , naamin ndan ya miaka 5 mbele vita ya Ukraine ikiisha muungano wao watauona mzigo tu na utavunjika tu , maana kama mzan umeegemea kwa mataifa fulan tu
Nani alikuambia uo muungano ulianza baada ya SMO kuanza nchini Ukraine?
 
Back
Top Bottom