Mexican Drug Lord, El Chapo gets life in Prison

Mexican Drug Lord, El Chapo gets life in Prison

Hiyo miaka 30 inamaanisha kwamba hata akikata rufaa na kushinda kesi ya kifungo Cha maisha basi itabidi atumikie hiyo miaka30(lazima) ndio aachiwe moja kwa moja
Mmeelewaaa????
 
Mexico njaa nyingi ndio maana alikuwa anawahonga Mabwana Jela achopoke
Vipi lile kundi lake la 'Sinaloa' ina maana litasambaratika au bado ngumu? Ila nashangaa inakuwaje taifa kubwa kama Marekani linashindwaje kutumia mabavu yake kuyasambaratisha haya makundi ya kihuni ya wauza unga huko Mexico na Colombia au ukute kuna wakubwa wa Serikali za huko (Mexico) na wenyewe wanahongwa pesa nzuri na hawa maharamia?
 
Back
Top Bottom