Sio mara ya kwanza kutoroka maximum security prison huyo jamaaMaximum security mzee baba
Muvi gani mkuuWamarekani wanaongoza kwa shobo duniani wamemtengenezea hadi movie jamaa na wanapiga pesa kupitia movie yake.lakini bado wamemkamata.......Sasa sijui kwenye ile series ya El Chapo kwenye Netflix na hili tukio wataliweka???(Nawaza kwa sauti)
Kwan huko wanalinda mazombiMaximum security mzee baba
Kama ni series ya narcos Mexico mbona ameongelewa kidogo sana labda kama ina muendelezo ambao Mimi sijauonaWamarekani wanaongoza kwa shobo duniani wamemtengenezea hadi movie jamaa na wanapiga pesa kupitia movie yake.lakini bado wamemkamata.......Sasa sijui kwenye ile series ya El Chapo kwenye Netflix na hili tukio wataliweka???(Nawaza kwa sauti)
Jela.Majaji bhana sijui nao wanavuta bangi. Unamfunga mtu jera kifungo cha maisha halafu unamuongezea tena miaka 30.
Kifungo cha maisha jera inamaanisha miaka yote atakuwa jera. Hiyo 30 ya nini tena?
Get rich or die trying
sijaongelea narcos mkuu.....nimesema kuna series inaitwa "el chapo" achana na narcos ya kina Don PabloKama ni series ya narcos Mexico mbona ameongelewa kidogo sana labda kama ina muendelezo ambao Mimi sijauona
"El Chapo" mkuu ndo jina la muvi...Muvi gani mkuu
hakika!Wamerekani Ni watu was ajabu Sana
Ukifanya Jambo baya wanatengeneza fursa alafu Bado wanakufunga au kukupoteza Kama osama
Ina maana alikubaliana nao...!Idea ya kutengeneza hii series ni yeye mwenyewe el chapo alionesha concern
inaonekana huyo alikuwa msumbufu kuliko huyu eehHuyu el chapo mchumba sana.Pablo escobar gaviria ndio alikua mwamba.
Huko tena ndiyo nitolee kabisa 99.99 asilimia hawezi kutoroka maana huko ndiko kwa WAKUDA asilia,.Lazima atoroke tena huyo
Alitoroka akiwa Mexico,tena hapo alitoa rushwa hadi kwa mkuu wa gereza..Sasa USA unafkiri atampa nani rushwa uroroke Gerezani.Sio mara ya kwanza kutoroka maximum security prison huyo jamaa
Mexico njaa nyingi ndio maana alikuwa anawahonga Mabwana Jela achopokeSio mara ya kwanza kutoroka maximum security prison huyo jamaa