Metronidazole na Pombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Metronidazole na Pombe

Discussion in 'JF Doctor' started by Micro E coli, Nov 10, 2011.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ukienda hospital kutibiwa kama Daktari atakupa Flaggily huwa anasisitiza sana usinywe pombe hapa kunamadhala gani kibaologia na je ni hatari na kama umekunywa dawa hizo halafu ukajisahau ukanywa na pombe ninikifanyike ilikuepuka hayo madhara.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ulevi ni nomaaa!!
   
 3. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ukinywa pombe hali umekunywa dawa nafikiri ni bora tu ugawe fasta urithi ili watu wasigombane badaye na pia jisogeze maeneo ya makaburini ili watu wasisumbuke kukubeba.
   
Loading...