Metro Cabanas Club iliyokuwa Moshi Mjini

Metro Cabanas Club iliyokuwa Moshi Mjini

brk

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
49
Reaction score
5
Kwa wanaoijua Club hii hebu tujuzeni habari zake tafadhari!
 
Ilikuwa Club Bomba iliyoanzishwa na Vijana wa Kikurya lakini walipigwa vita ya kufa mtu na wachagga. It took more years to get replacement baada ya Club la Liga kuanzishwa. Otherwise wakazi wa Moshi walikosa uhondo kwa muda mrefu.
 
Thanks Mkuu Kalikenye kwa kunipa mwanga wa kilichotokea
 
Back
Top Bottom