P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 Oct 26, 2012 #1 Simba mwenda pole ....... huyo ni Sharobaro Asiyefunzwa na mamaye ...... ujue mamaye hajapitia ualimu Zimwi likujualo .................. Lilikuona sehemu Chelewa chelewa ........... ukizikusanya utapata fyagio Hakuna masikoka ... isyo na matope Mpanda ngai ............... ataota vigimbi Pruuuu mpaka Macca ....... kaenda kuhiji huyo Hakuna marefu ........... yasiyokuwa na mapana Kuku mgeni ............. hufungiwa mpaka azoee Haba na haba ........... haba mbili hizoooo .............. kwa leo inatos........... :bange:
Simba mwenda pole ....... huyo ni Sharobaro Asiyefunzwa na mamaye ...... ujue mamaye hajapitia ualimu Zimwi likujualo .................. Lilikuona sehemu Chelewa chelewa ........... ukizikusanya utapata fyagio Hakuna masikoka ... isyo na matope Mpanda ngai ............... ataota vigimbi Pruuuu mpaka Macca ....... kaenda kuhiji huyo Hakuna marefu ........... yasiyokuwa na mapana Kuku mgeni ............. hufungiwa mpaka azoee Haba na haba ........... haba mbili hizoooo .............. kwa leo inatos........... :bange:
M Mdefede one New Member Joined Oct 23, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Oct 29, 2012 #4 Dah sema kiaz mi muhogo na mizizi.
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Oct 29, 2012 #5 Nakupa like ya kianalogue !!!