methali na ulimwengu wa sasa

methali na ulimwengu wa sasa

Scratch

Member
Joined
May 2, 2011
Posts
11
Reaction score
1
Methali: Aliye juu mngoje chini.
Je akigoma kushuka inakuwaje?
Badili hii kwa kiingereza; Mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Hahahhaha mtoto wa nyoka ni magamba wewe! (ccm)
 
Aliyeko juu mpandilie hukohuko maana ukingoja ashuke miguu itazama. Si unajua aliyenacho anaongezewa? Hivyo mambo ya kungoja yanaumiza matumbo!
 
kama kagoma kushuka ana lake huyo, ukimpandia itakuwa vita halafu matokeo yake wote mtadondoka na kuvunja visigino ha ha haaa
 
sio lazima, wangine wana akili chafu, hawashuki
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka=The child of a snake is snake!
 
Back
Top Bottom