STS Services - Quick Overview of the STS Specifications
Pitia hapo ndo utapata maelezo.meter za luku duniani mgunduzi wake ni msauz africa.na duniani kote yeye ndie mwenye hati miliki.
Tangia nipo mdogo nilkua
nafikiria uwezo wa hizi meter pale unaponunua token na kwenda kuingiza
na zikaandka accepted ivi ni kwamba zinatumia network au? Na kama
network iyo ni ipi mpka kijijin uko ndan ndan imekua installed na kuweza
kuwasiliana na Tanesco servers kujua hii token ni batili au lah... Au
kuna tech nyngne zinatumia
Any idea tafadhali
Kwa iyo unataka kusema hizi meter kila 1 ni unique kwa nyingne mkuu
Thread kama hizi za Elimu hazipati sana wachangiaji au wasomaji kwa kuwa tumechagua kuwa Wajinga, tunatamani kujua ila hatupendi kujielimisha!
Yah kwa jins nilivyoelewa znyw haziitaji sever zmekua built in system ambayo itachukua zle token ku encrypt
nadhani lazima kutakuwa na sever ambayo ndiyo inaimonitor katika token. Maana hata umeme ukipanda yenyewe inajua ya kwamba inapaswa kuwa unit fulani. Hivyo kutakuwa na mawasiliano kwa njia ya satelite ambayo ndiyo inaipa taarifa.