Mimi nina wasiwasi kuhusu hiyo habari ya TFDA. Nchi hii ina ufisadi mkubwa sana kila mahala, kila sector. Inawezekena kuna watu fulani wanataka kupenyeza dawa zao za malaria (au wamesha penyeza) na hivyo kuwahonga TFDA ili watoe tahadhari hiyo kuhusu metakelfin!
Narudia, ufisadi ulivyojikita humu nchini unahatarisha nchi kwelikweli!
Mimi nina wasiwasi kuhusu hiyo habari ya TFDA. Nchi hii ina ufisadi mkubwa sana kila mahala, kila sector. Inawezekena kuna watu fulani wanataka kupenyeza dawa zao za malaria (au wamesha penyeza) na hivyo kuwahonga TFDA ili watoe tahadhari hiyo kuhusu metakelfin!
Narudia, ufisadi ulivyojikita humu nchini unahatarisha nchi kwelikweli!
Kwa yeyote ambaye anazo anashauriwa ASIZITUMIE.
Wakuu,
Taarifa toka TFDA ni kuwa dawa aina ya Metakelfin inayotumiwa na wengi kwa ajili ya matibabu ya Malaria isitumike kuanzia sasa mpaka itakapotolewa taarifa nyingine. Hii ni baada ya kugundua batch kubwa ya dawa hizi nyingi zikiwa bandia (fake).
Kwa yeyote ambaye anazo anashauriwa ASIZITUMIE.
Ni kwa taarifa tu
Wakuu,
Taarifa toka TFDA ni kuwa dawa aina ya Metakelfin inayotumiwa na wengi kwa ajili ya matibabu ya Malaria isitumike kuanzia sasa mpaka itakapotolewa taarifa nyingine. Hii ni baada ya kugundua batch kubwa ya dawa hizi nyingi zikiwa bandia (fake).
Kwa yeyote ambaye anazo anashauriwa ASIZITUMIE.
Ni kwa taarifa tu
Ingawa dawa aina ya SP (kama metakelfin na fansidar) hazitumiki tena kutibu malaria, zimeendelea kutumika kwa ajili ya prophylaxis ya malaria (kinga) mfano kwa akina mama wajawazito. Dawa fake implication yake ni kuendelea kuwa na high rates za malaria in pregnancy- mwishowe kifo kwa mama, mtoto ama matatizo mengine yahusianayo. Asante kutujulisha invisible.Mkuu mbona metakelfin na dawa nyingine za jamii yake ambazo zinajulikana kama SP zilishafutwa Tanzania toka December 2006? Kuanzia Jan 2007, dawa zinazoruhusiwa kutumika kutibu malaria ni mbili tu. Alu kwa malaria ya isiyo kali (i.e tiba ya awali) na quinine kwa malaria kali au tiba ya rufaa. Kwa hiyo nashangaa kusikia kuwa kuna watu walikuwa wanatumia metakelfin au aina nyingine ya SP. Sitashangaa kwa mambo yalivyo hovyo nchini kwetu kwamba kuna watu ambao bado wanaotumia hata chloroquine iliyofutwa toka 2001.
Maisha yenu yatakuwa magumu sana mkiwa mna-question kila kitu hivyo."Mimi nina wasiwasi kuhusu hiyo habari ya TFDA. Nchi hii ina ufisadi mkubwa sana kila mahala, kila sector. Inawezekena kuna watu fulani wanataka kupenyeza dawa zao za malaria (au wamesha penyeza) na hivyo kuwahonga TFDA ili watoe tahadhari hiyo kuhusu metakelfin!
Narudia, ufisadi ulivyojikita humu nchini unahatarisha nchi kwelikweli!....."
*****************************************
Zak: Nakubaliana nawe kabisa. Katika Tanzania hii iliyojikita katika ufisadi inakuwa si rahisi kujua ni taarifa zipi zinazotolewa na wakuu wa serikali au taasisi zake ni za kwa masilahi ya taifa na zipi ni kwa masilahi yao binafsi! Tumefika mahala pabaya na pa hatari sana!
You said it all...Thanks Invisible, but you raise a very partnent issue here.
Thats why I always argue that, nchi zetu za dunia ya tano tuna matatizo makubwa kila sector.
Ukiangalia haya madawa na bidha feki primarily zinatoka INDIA NA CHINA. Sasa hivi Africa tumeshakuwa official damping site ya wachina na wahindi. Hawa jamaa wameshatugeuza kwamba sisi ni dampo lao, lakini kwa vile wanajifanya wako camp moja na sisi linapokuja swala la kuwashambulia westerners tunajifanya tuna solidarity nao. Kifupi, hizi bidhaa feki they dont come in our countries by accident! Hawa wachina na wahindi wanataka kucreate employment za watu wao cheaply and they can only succeed with doing that to Africa.
Hivi jiulize, Leo US au Western Europe wagundue shehena za bidhaa feki (ofcourse at times vinaingia) lakini nakwambia hao wachina na wahindi watahaha! And they cant do it..wanaogopa na wana-stand ku-loose wakifanya huo ujanja ujanja...Leo ukienda mpaka kijijini ni bidhaa feki ya Mchina..kuanzia ndala za Yebo Yebo..mpaka Television!
Yaani sijui waafrika tulilaaniwa na nani, kwa sababu ukweli ni kwamba hata hawa wachina na wahindi wanajifanya ni marafiki zetu kwa sababu wanahitaji resources zetu (after all wazungu walitumia hiyo hiyo tricky), wakishapata chao watatimka watatuacha na umasikini wetu. Sijui tutajifunza lini kugundua kwamba TUNATUMIWA TUU! I can assure you Mchina analijua hili..ndo maana leo anawakumbatia akina Mugabe na BASHIR...(exactly what westerners did). LAKINI kinachouma ni kwamba, Mpaka leo sisi black skinned people hatujapata somo. Kwamba dunia ya leo..usimwamshe aliyelala. China anafurahi tuu..maana anakula na kipofu.
Sasa sijui China wakishatimka..tutaenda wapi..well maybe..Southern America!
At times, Cheap is expensive.
So sad and pathetic!
..malaria inazidi kututesa tu, hata hivyo sijui ni dawa gani inafaa sasa. Nilikuwa nameza hiyo metakalfin!
Taarifa hizi zitangazwe kwenye simu za mikononi kwa njia ya sms ili wananchi wengi wazipate. Hii ni hatari sana.