META yazindua 'App' nyingine kwaajili ya kushindana na Twitter

mpwayungu village kwenye ubora wake
Yupo vizuri huyo mpka wanafunzi wake wanamtungia maswali
IMG_20230706_070645~2.jpg
 
Kama kuna sheria ya kuzuia kuiga basi itakuwa imepitwa na wakati karne hii. Huwezi kuanzisha kitu halafu uzuie wengine wasiige, wataiga tu, tena wataiga na kuboresha zaidi. Ni hulka binadamu kuigana mambo wanayovutiwa nayo kwa namna mbalimbali. Kuigana ndiyo maendeleo yenyewe
 
Back
Top Bottom