mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,191
- 19,117
Cristiano ronaldo level zake ni neymar jr, if u'r sound mind u can compare messi from cr7, coz messi is a magic person. Me ntamuelewa mtu anaesema cr7 vs neymar jr.
kweli mzee..salute kwakoRonaldo hawezi shindana na messi...ashindane na akina Bale,Teves,Van persi,Diego costa,Torres,Muller nk,watu wazito katika soka duniani wote wanamkubali messi hata kwa kuwaangalia tu on the pitch..Pep guardiola anaamini messi anaweza linganishwa na ma Greatest yaani akina Pelle na Diego maradonna...
jamani Messi ni shidaaa, yaani anavyocheza, anavyo assist na anavyofunga ni very skilled, Makocha wanaosuka ukuta Mgumu kama Diego simeoni na Jose mourinho kwa nyakati tofauti wanakiri kuwa ni ngumu sana na inagharimu kumdhibiti huyu mtoto...!!!! alafu mpole mnyenyekevu na mkimya, yaani kiukweli aliumbwa ili atufurahishe wapenzi wa mpira....!!!!!
mbona mada ipo humu tayari? si ungeipitia hiyo tu ungepata majibu ya tafiti yakoandika M kwa messiiiiiiiiiiiiiiiii andika R kwa ronaldooooooooooo toa sababu kwa nn ni bora kuliko mwingine.
https://www.jamiiforums.com/sports/13334-messi-vs-ronaldo-nani-zaidi.htmlandika M kwa messiiiiiiiiiiiiiiiii andika R kwa ronaldooooooooooo toa sababu kwa nn ni bora kuliko mwingine.
Hivi bado kuna wajinga ambao wanamfananisha Messi na Chr Roaldo?kitu kipo wazi au ni vipofu?Ktk comments nyingi duniani kati ya hao wawili kuna mmoja ambae anasumbua akili za watu na kufananishwa na mtu kutoka sayari ingine!kwa skills zake za ajabu ktk soka!!lakini bado mburula anatokea anauliza swali ambalo jibu lake lipo wazi!
Messi....mbona ipo wazi jamani?au ww unaonaje?
Kuna mwanasoka alikuwa anawachambua akasema bahati mbaya sana cr kazaliwa kipindi cha mess so hawezi kuwa bora mbele ya mes
mjukuum nakumbuja ni joy burton wa qpr. wakati wa uefa semi final lile goak la pili alilokata chenga boateng akaanguka na messi kutikisa nyavu alisema; ronaldo is good in his generation but messi is from other planet. messi ni kitu ingine
mjukuum nakumbuja ni joy burton wa qpr. wakati wa uefa semi final lile goak la pili alilokata chenga boateng akaanguka na messi kutikisa nyavu alisema; ronaldo is good in his generation but messi is from other planet. messi ni kitu ingine