Usiangalie miaka mitano iliyopita angalia miaka yao yote ya soka
over
Hata ukiangalia hivyo bado anaongoza, tatizo watu wanachangia kiubaguzi, kila wakitaja mafanikio yake wanasema yamechangiwa na akina Iniesta lakini hawatakia kutaja ukweli kua Messi ana assist nyingi kuliko hao. Kama mafanikio yake hayawezi kuwepo bila hao tulitegemea akina Iniesta wawe na assist nyingi kuliko yeye. Kwa kipindi chote Ronaldo alichochezea Madrid viungo wa Madrid wamekua na assist nyingi kuliko viungo wa barcelona. Hata kipindi akia Man Utd Roney ndie aliyeonekana kua na assist nyingi. Lakini Messi mda mrefu amekua na assist nyingi kuliko viungo wa club yake, kwa maana hiyo yeye anawachezesha zaidi wenzake.
messi jembe
Hii record iliyowekwa na CR baada ya ya mechi zilizopita za La liga na siku iliyofuata FC BARCA walikuwa uwanjan ndipo LIO MESS akaongeza HAT TRICK nyingine na kufikisha 21 hvo
CR HAT TRICK vs MESS HAT TRICK
23 Total Hat Tricks 21
14 With Penalty 4
9 Without Penalty 17
Kwa takwimu hizi nani king wa soka kwa sasa?
Messi kacheza miaka mingapi Laliga ukicompare na CR7.. pengine tuangalie hizo hat trik ni katika mechi ngapi kwa kila mmoja!!
Kweli mkuu. Mimi nadjani ushabiki wa mpira ni kama uvutaji wa sigara....wengine wanavuta embassy wengine sport wengine sm.
messi ni natural footballer. Kile anachofanya ronaldo wengi wanaweza kufanya, Lakini Messi anavitu vyake vya peke yake.
Kwani Messi anat?mia nini kufinga magoli?
ladha ya ufungaji inatofautiana chief. tatizo sio kufunga tu, kufunga goli mahali ambapo angekuwa Ronaldo angeanguka au hana akili ya ziada kupangua mabeki ndio maana anapitia pembeni.