Messi vs Neymar...and Ronaldo vs Bale

Messi vs Neymar...and Ronaldo vs Bale

jem_the_great

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
289
Reaction score
159
Nahisi this time spain kutawaka moto baada ya bale kukamilisha usajili na kujiunga na club ya real Madrid..Je unatabiri vipi katika hizo combination?ni ipi unahisi inaweza fanya maajabu zaid??
 
Nesi + Naima + Balenice + Christina = Ronaldinho Left foot
 
Nahisi this time spain kutawaka moto baada ya bale kukamilisha usajili na kujiunga na club ya real Madrid..Je unatabiri vipi katika hizo combination?ni ipi unahisi inaweza fanya maajabu zaid??

My hunch; combination ya Messi na Neymar looks promising to be more functional than the other for one reason: Messi na Neymar are down to earth,ni watu wapole na waungwana, hawana ego kubwa, wanaweza kushirikiana ili wafanikiwe kama strike partners; whereas GB ni mtu class ya LM na Neymar; the devil is in CR7! Ana ego kubwa, mjivuni na selfish! Ujio wa GB yeye atauchukulia kama unnecessary competition na sio kama opportunity! My take.
 
Quickly, I might agree with you except on putting GB on same class of LM and Neymar, maybe on thier pay per week. GB has yet to prove himself to be compared with the two, even in the League where he is coming from.
Halafu ukumbuke GB ni "diver" tu CR!
Of course timing na publicity ya biashara ya GB, hasa publicity inayotoka England, itawasaidia sana RM kuuza Jezi, etc. kwa combination ya CR+GB zaidi ya LM+N. Uwanjani? I would go for the LM+N combination!
(BTW usishangae leo hii ukakuta jezi namba 11 ya GB ya RM inauzwa Manzese - Wabongo ni noma!)

Mawazo yangu tu!
 
Back
Top Bottom