Messi atachukua tuzo ya tano mwakani

Messi atachukua tuzo ya tano mwakani

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Kiukweli messi akiendelea na jitihad binafsi anaweza kuchukua tuzo ya tano mwakani, mpinzania wake ronaldo kauanza mwaka huu vibaya mno .
 
Kiukweli messi akiendelea na jitihad binafsi anaweza kuchukua tuzo ya tano mwakani, mpinzania wake ronaldo kauanza mwaka huu vibaya mno .

Messi si kuwa anafanya jitihada binafsi bali ana uwezo binafsi...

Anafanya kitu ambacho anakipenda...
 
Ni pamoja na kuiwezesha Barcelona kubeba mataji Sio kufunga tu, miaka 3 ss timu haina mataji, nyie mnaangalia ushindani wake na Ronaldo
 
Ronaldo ana magoli 28 ...mesi magoli 26 ........ mesi anamfukuza ronaldo kimya kimya...naamin atamfikia
 
Ronaldo ana magoli 28 ...mesi magoli 26 ........ mesi anamfukuza ronaldo kimya kimya...naamin atamfikia

Kumbuka kuwa Ronado alifungiwa mechi tatu ndiyo maana Messi amemkaribia! Baada Ya Ronado kurudi uwanjani Messi ahesabu maumivu.
 
hivi tuzo ya ballon d'or ni lazima siku hzi achukue messi au pernaldo?
 
Atasahau kwa sasa! Aliczochukua zinamtosha!
 
Watu bana. Hampigi debe ili mbwana samatta awe mchezaji bora africa
 
Kumbuka kuwa Ronado alifungiwa mechi tatu ndiyo maana Messi amemkaribia! Baada Ya Ronado kurudi uwanjani Messi ahesabu maumivu.

Katika football ushindani ni pamoja na nidham ronaldo alifungiwa coz ya utovu wa Nidham. Last year ronaldo alichukua wakati messi akiwa anaumwa
Wakati mid october difference ya magoli kati ya messi na ronaldo ilikuwa 10 sasa hivi yamebaki 2 messi still going
 
vigezo ni vipi?

Kwahiyo Siku hizi kigezo chakuwa cha kuwa mwanasoka bora ni kumpita Ronaldo ???? Messi tunaaminishwa ni bora kuliko Ronaldo sasa kwanini Messi ndio anaehaha kumfikia Ronaldo kwa ufungaji badala ya Ronaldo kumfukuzia messi☺️☺️☺️☺️
 
Umeanza kufatilia mpira lini?
 
Too boring. Na mwaka kesho kutwa achukue ronaldo
 
Hiki kizazi mpira hakuna kabisa, yaani tuzo ya fifa inatolewa kwa kuangalia wafungaji wa magoli ya team na c wachezaji bora. Canavaro, Zizou, Gaucho etc wakat wanachukua tuzo mtu unaccmka kweli wanaume wamekwaa tuzo. Lkn c leo eti messi akimpita ronaldo magoli au Ronaldo akimpita Messi tayari mchezaji bora.
 
nyie ndio hamnazo kweli, Kwa hiyo kigezo pekee cha kuchukua fifa balon DoR ni kufunga magoli mengi.?

Nadhani wewe ndo hamnazo, mimi nimemuuliza aniambie vigezo ni vipi.
Sikumwambia Kwamba najua vigezo ila nimemuuliza anitajie vigezo ili tudiscuss.
Usiwe mkurupukaje Mkuu.
 
Ebu tumuangalie na mtu km Manuel neur nahic kbs tuzo ni yake next d'or sababu bado hajaaribu mpk sasa ktk kuibeba bayern.
 
Back
Top Bottom