Messi angekuwa Muengland sijui ingekuwa vipi!

Messi angekuwa Muengland sijui ingekuwa vipi!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Lionel Messi ni Muajentina na ni mchezaji wa kulipwa katika klabu bora barani Ulaya ya FC Barcelona, pana shutuma toka upande fulani kuwa Barca haishindi bila Messi sasa huyu ni mchezaji wa kiwango cha juu sasa hivi duniani na anachezea klabu bora pia. Hivi angekuwa Muengland na anachezea klabu maarufu kwa England ingekuwaje?
 
huoni Mzee Ferguson wanavyompa promotion kwa sasa ya nguvu,watatengeneza filamu,vitabu ili mradi watu wapatie utajiri hapo ingekua anatoka argentina wala usingesikia chochote!wanadai football na ustaarabu umeanzia UK,lakini cha ajabu wanafungwa kila siku na germany
 
Sawa mkuu, huyu jamaa ni Scotish na hapo Man U huyo kocha mpya hatakuwa na uamuzi japo ni Scotish mwenzie. Tatizo ni UKASUKU na uvivu wetu wa kutafuta UKWELI wa mambo, tunaambiwa Beckham ni mpigaji mzuri wa 'free kick' tunakubali wakati Robert Carlos wakati akiwa Real Madrdid alikuwa mtaalam wa mipigo hiyo kumzidi huyo Englishman.
 
Angekuwa Muingereza asingepata nafasi ya kucheza sio tu, Premier league bali football league nzima(epl, championship, league1,league2), labda level za conference.

Sheria za Uingereza kuhusiana na kutumia dawa za kuongeza nguvu zingefanya klabu kutomsajili mtoto anayetumia Hgh daily
 
Sawa mkuu, huyu jamaa ni Scotish na hapo Man U huyo kocha mpya hatakuwa na uamuzi japo ni Scotish mwenzie. Tatizo ni UKASUKU na uvivu wetu wa kutafuta UKWELI wa mambo, tunaambiwa Beckham ni mpigaji mzuri wa 'free kick' tunakubali wakati Robert Carlos wakati akiwa Real Madrdid alikuwa mtaalam wa mipigo hiyo kumzidi huyo Englishman.

Hapo kwenye red,pernambucano unamweka kundi gani?
[h=1]JUNINHO PERNAMBUCANO - 75 Free Kicks - 1994-2012[/h]http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=NesfdRNtwsE
 
Kaka ile thread yako ya ipi ligi bora kati ya La Liga na EPL inabidi uifufue hasa baada ya kinara wa La Liga kula saba za uso.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom