Ulichokunywa au kukivuta usikitumie tena.Yamal ni kipaji kuliko messi
Kaka tukae kwa GOAT.Vipi kaka tukae upande siku hiyo? maana kulia na kushoto wote wanetu!
Etiii sawa kaka tumsapoti mkubwa kweli maana anapambana sanaKaka tukae kwa GOAT.
Spain hata wasipobeba mwaka huu bado wanaweza kubeba in future.
Wachezaji bado wadogo wanaweza cheza fainali zijazo mbili mpaka tatu.
Unaumwa Nini !?Yamal ni kipaji kuliko messi
Huyo dogo anaugua.Unaumwa Nini !?
Yamal kwenye game ana miaka mingapi? Messi kwenye game ana miaka mingapi??Unaumwa Nini !?
Huna Akili 🤣Yamal kwenye game ana miaka mingapi? Messi kwenye game ana miaka mingapi??
Yamal hana miaka 8 kwenye game kumfananisha na mess mwenye miaka 20 kwenye game ni dalili tosha kwa Yamal ndio GOAT
Hakuna mchezaji anayemzidi/atakayemzidi Messi 😎Yamal kwenye game ana miaka mingapi? Messi kwenye game ana miaka mingapi??
Yamal hana miaka 8 kwenye game kumfananisha na mess mwenye miaka 20 kwenye game ni dalili tosha kwa Yamal ndio GOAT
TheoryHakuna mchezaji anayemzidi/atakayemzidi Messi 😎
Sijazungumzia habari ya kuchukia kombe. Nimemfananisha Yamal na Messi.Theory
Ngoja jpili kikombe kinaenda Spain
Save hii comment
Messi akiwa na miaka 17–18 alikuwa tayari anaonyesha kipaji cha kipekee, lakini bado hakuwa mchezaji wa kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha Barcelona.Sijazungumzia habari ya kuchukia kombe. Nimemfananisha Yamal na Messi.
Hata Spain wakitwaa ubingwa ni freshi tu maana timu hizi zote ni zangu.
Kwa hiyo kwa takwimu hizo unaona Yamal ni Bora kuliko Messi?Messi akiwa na miaka 17–18 alikuwa tayari anaonyesha kipaji cha kipekee, lakini bado hakuwa mchezaji wa kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha Barcelona.
Lamine Yamal akiwa na miaka 17–18 tayari ni mchezaji muhimu wa Barcelona na Hispania, ameshinda ubingwa mkubwa akiwa na mchango mkubwa, na amevunja rekodi nyingi za umri mdogo.
Ukilinganisha umri ambayo mess yuko kwenye game na yamal kuwa mpinzani wa mess ni wazi Yamal ni bora kuliko messKwa hiyo kwa takwimu hizo unaona Yamal ni Bora kuliko Messi?
Sawa nimekubali maana Yamal pia namkubali.Ukilinganisha umri ambayo mess yuko kwenye game na yamal kuwa mpinzani wa mess ni wazi Yamal ni bora kuliko mess
Hahahahah 😆 ila we jamaa una damu ya Messi weweSawa nimekubali maana Yamal pia namkubali.
Vipi, tumekubaliana kuwa Messi ni Bora kuliko Ronaldo?
Ronaldo 41Sawa nimekubali maana Yamal pia namkubali.
Vipi, tumekubaliana kuwa Messi ni Bora kuliko Ronaldo?