poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Unauhakika kwa dawa hatuihatui hata kwa dawa
Messi ligi ngumu kama ya barclays hawezi kucheza, kule Hispania timu zinacheza mpira wa ushindani ni chache sana tofauti na uingereza
Utafiti fake huu....... Hivi ulitizama world cup 2014.???
Akifinikiwa kumnunua messi hatoweza kusajili misimu kama mitatu ijayo..
Messi ligi ngumu kama ya barclays hawezi kucheza, kule Hispania timu zinacheza mpira wa ushindani ni chache sana tofauti na uingereza
Messi ligi ngumu kama ya barclays hawezi kucheza, kule Hispania timu zinacheza mpira wa ushindani ni chache sana tofauti na uingereza
Watu wengi huwa mnaangalia EPL tu na ligi nyingine mnaangalia matokeo tu kisha mnasema ligi ngumu iko Uingereza tu. Anyway, angalia wachezaji wangapi wametoka la liga na wanacheza mpira vizuri tu Uingereza, kama Diego Costa au Alex Sanchez wanafanya vizuri na timu zao basi tegemea mambo makubwa kutoka kwa Messi.
Leo hii waandishi wamemuuliza swali la kinaafiki Carlo Ancelotti kuhusu Messi, yeye akawaambia kwamba Messi anaweza kucheza mpira popote na timu yoyote.
Fikiria mara mbili utafiti