The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,808
- 123,894
La Pulga.
Sahihi kabisa...Tangu niwe mfuatiliaji wa mpira mpaka leo hii tarehe 8 January 2023 bado sijaona wachezaji wa kuwakaribia "MESSI AND DIEGO ARMANDO MARADONA,
And it will take time to find players kama hawa...
Sahihi kabisa...
Kuna mmoja amejitahidi mno kushindana na La Pulga, huyu tumpe heshima yake japo kaishia njiani.
Yupi mkuu?
CR 7
tunzo za mchongo