Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,462
- 1,085
Hazard CFC,
Chai haina sukari hii
Chai haina sukari hii
Yangu itatutoa piemu ya jeifu na kutupeleka piemu ya wapi sijui huko...Hebu nisimulie yako pm bana! Weekend imezubaa
😂😂😂😂 hatari kweli mkuu,cjawahi sikia hivi vitu.Si bora hiyo mkuu... kuna wakati unapiga kiporo cha wali na safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Msalimie sana Jolie jolie popote alipo na id yake mpya
Daaahhh
Ngoja tufanye utafiti kwenye Id mpya
Yangu itatutoa piemu ya jeifu na kutupeleka piemu ya wapi sijui huko...
Hebu iache iendelee kuwa kapuni
Ngoja tufanye utafiti kwenye Id mpya
Alikatazwa kutumia jf ?
Alikatazwa kutumia jf ?
Nakumiss mimi jamani Mangi
humu jf umeshawala wangapi baharia
Umuowe laa sivyo natafuta vifungu vya kukufungulia mashtaka kortini
Sent using Jamii Forums mobile app