MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,882
Hebu nisimulie yako pm bana! Weekend imezubaaVistori chokonozi vya ijumaa...
Nakumiss mimi jamani MangiMpe pole sana happy
Nasikia masharti ya F uliyashindwa 🤣🤣🤣
Nilichoelewa ni kwamba una uwezo wa kutunga na kuandika simulizi.
Nilichoelewa ni kwamba una uwezo wa kutunga na kuandika simulizi.
Nasikia masharti ya F uliyashindwa
Ooh basi sawa 😀😀😀
iishi milele jamii forums....chapati na safari
kelphin kepph
Maliza kunywa upesi...
Maliza kunywa upesi...
Sijui kwa nini imeniuma