Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KhaaaaSio nisishangae we ndio umeyataka
Ujue tulianza ukurasa mpya muulize hebu!! Mwenyewe ana makandokando kibaoo lakini tukafukiaa
KhaaaaSio nisishangae we ndio umeyataka
We baki na ushenga wako wanzio wanaenda kuogaHii sio mida yake jamani

Utaelewa tuSijakuelewa
Toka umeondoka humu ndo kumekuwa nyumbani kwangu!Unatoka saa ngapi humu?
SawasawaYaani
Ila nampenda tuu aki
SawasawNdio hivyo uzi ni wetu
Sikuhiz unaliamsha dude si kawaidanimo kwenye nn shem
Hapana mm niko toka mwanzo ww ndio chanzo kabisaKhaaaa
Ujue tulianza ukurasa mpya muulize hebu!! Mwenyewe ana makandokando kibaoo lakini tukafukiaa
Kipi sasaKwahiyo huoni ulichofanya
KwendreniiiWe baki na ushenga wako wanzio wanaenda kuoga![]()
![]()
![]()
![]()
Mwifa ni wakati sasa wa kununua/kuongeza kiwanja kwa ajili yenu.
Na wana jf wote.
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23
Bei 19M.
PM kwa serious buyers
Karibuni
View attachment 776429View attachment 776434









Na ole wako utokeToka umeondoka humu ndo kumekuwa nyumbani kwangu!
Shunie karibu uniungishe....
Bora umenena![]()
![]()
![]()
tabia ya kugonganisha magari cio nzuri
Sawa mkuuToka lini ukaondoka sasa hivi si saa tano ndio tunatoka