Message to my love Mwifwa

Message to my love Mwifwa

Kumbe Raynavero ni ticha, nasikia maticha watamu na ni mama bora sana, tatizo mkikosana unaanzishiwa kikao huko staff room. Rayna kuja huku, halafu nimesahau jina lako la zamani
occupied with full package!!!!

Na tunawaenjoi maofisini humo balaa
Janaume likija pale twalichora tu!tunamjua kuanzia unyayo mpk boksa aliyonunuliwa
 
Unataka kusema toka tumejuana ndo biashara umeanza juzi.. Kusema tuu mama Naa naondoka ulishindwa?!

Mara ya kwanza nilivumilia ukarudi as if nothing happened, lakini hukulala hata kwa nyumba ukaondoka tena?! Nini kinaendelea lakini
Hivi vitu huwa tunaongea wakati nakuogesha mama..


Twende home hebu..

Waage mashemeji zako kina Eli79
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom