Message from Juma Mwapachu

Lowassa's corrupt activities are an open secret in and outside Tanzania. At CCM's presidential nominee conference in Dodoma, former PM Mr. Sumaye was quoted saying if a corrupt candidate was selected, he would the party. He was reffering to Lowassa. Lowassa's corrupt activities aren't limited to the Richmond case only, but since the late 1980's when he was a servant at the CCM office in Arusha. Mwapachu fool bodas, chingas, m/ntilie not we matures.
 

Mwapachu kasoma India. Kawa balozi wa Tz India. Kiingereza chake pia ni kutokana na experience kazini kwa kutumia lugha hiyo ya kiingereza.

Unavosema hata chadema ikiingia mambo ya elimu yatakua hivihivi naona unakosea. Na sio kweli wajinga watahenyeka!

EL anasema hivi, vijana wanaomaliza elimu ya sekondari, vijana waliofeli la saba, vijana wasio na ajira, wenye umri sawa na waliomaliza kidato cha sita (17yrs), wote wanakwenda "JKT KWA MIAKA MIWILI"

Mwaka wa kwanza wa jkt wanapiga kwata. Mwaka wa pili wa jkt, wote wanapewa elimu ya VETA kulingana na ufundi ambao unapendelea, hata kama ni upishi.

Baada ya hapo, anaetaka aende chuo kikuu na aende, anayetaka kurudi mtaani au labda alifeli, basi arudi mtaani akafanye kazi kupitia elimu ya VETA aliopata TENA BUUUUURE!

Mimi naona hili ni jambo zuri. Matunda tunaweza tusiyaone mapema ila ni jambo zuri kwa watoto na vizazi vijavyo. Kwaio, WATU WATANEEMEKA NA SIO KUHENYEKA!
 

Asante kunisahihisha.Wengine lugha ya mkoloni wa kiingereza inatusumbua.Nimeandika Mwapachu ana Uzunguphilia ndio maana anapenda kujipaka mkorogo
 

Mkuu umejibu vizuri, hakuna wakati unaoenda kuwa mgumu kama baada ya uchaguzi,

1. Kama CCM watapita, watatka kurudisha gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa mara 3 zaidi ya kipindi kingine chote cha uchaguzi, miradi ya wachina itaongezeka mjini hapa maana familia kuu itaendelea kushika hatamu kwenye hizi biashara. Sina uhakika kama kweli Magu anaweza kuzuia chochote, ukute na yeye ataingia huko kama watangulizi wake.

2. Kama upinzani utapita, kuna kurudisha gharama za uchaguzi, hapa ni kwa Lowassa na marafiki zake (anaosema ndo wanamdhamini), kuna kutaka kurudisha deal alizonyanganywa na Familia ya Mkuu kupitia kwa Rizimoko baada ya kuondolewa kwenye system, marafiki zake watataka nao wapate tenda mbali mbali ikiwamo kujineemesha na hii rasilimali mpya (gas) ambayo inatutoa macho, lakini pia watu kama Mbowe watakuwa kwenye system na tutaanza kuona nyota nyota sasa.

Mimi kwa utabiri wangu naiona miaka mitano ya ukame Tanzania kwa yeyote atakayeingia madarakani, kodi zitaongezeka, bei za vitu zitapanda, hela yetu itaendelea kushuka thamani, ajira zitakuwa ngumu, na mengineyo.

So, tujipange.
 
Ukisema -phobia maanake anakichukia kitu tajwa. Uzunguphobia maanake anachukia uzungu. Ulipaswa kutumia -philia yaani uzunguphilia.
-phobia (chukia)
-philia (penda)

Asante kunisahihisha.Wengine lugha ya mkoloni wa kiingereza inatusumbua.Nimeandika nimerekebisha nimeandika Mwapachu ana Uzunguphilia ndio maana anapenda kujipaka mkorogo
 
Huna adabu wewe..kwani kizungu ndio kusomaa?CCM imewashika pabaya sana...mtakunya hadharani sasa
 
Asante kunisahihisha.Wengine lugha ya mkoloni wa kiingereza inatusumbua.Nimeandika Mwapachu ana Uzunguphilia ndio maana anapenda kujipaka mkorogo

Karibu! Kuna ugonjwa unaitwa "Vitiligo" unasababisha mabaka-mabaka meupe kwenye ngozi. "Kisukari" pia huweza kusababisha kitu hiki. Magonjwa haya humpata mtu sio kwa sababu ya mkorogo bali kwa vyanzo vingine. Naomba u-google magonjwa haya ili uelewe vizuri.

Kwa hio usikimbilie kusema ni mkorogo kumbe mwenzako anaumwa!
 
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

Apigwe chini tuuu,

Naipenda nchi yangu Tanzania. Niliweka Tumaini Chadema kuwa watakuwa wakombozi, nao wamenisaliti kwa kumchukua aliyeshindikana CCM eti aje awe Rais.

Kama CCM wamefika mahali wamemwida GAMBA na upinzani wakamwita FISADI ni nani anayeweza kutuaminisha vinginevyo?

Masikini Chadema, unatutusaliti kwa kutubusu? kwa kupata vipande vya fedha?

Kama MUNGU upo upande wetu waTanzania, ni nani aliyejuu yetu? NONE.

Mwapachu na Kingunge sio ASSETS kwa watanzania bali ni mizigo hata CCM walichoka kuwabeba
 
You have nailed it mdingi Mwapachu, so sad magufuli wont catch the glimpse of your wise words
 

Asante kwa tahadhari. Ila hakuna nchi iliofanikiwa kiuchumi bila kuumia. No pain no gain.
 

Anhaa kumbe anaumwa!
 
At last January has found his match in Mr. Mwapachu!
 
Huna adabu wewe..kwani kizungu ndio kusomaa?CCM imewashika pabaya sana...mtakunya hadharani sasa

Mwehu huyo
Mimi nilikuwa na wafanyakazi wanyasa hawajui kusoma wala kuandika.Wanaongea kiiingereza kuliko Mwapachu
 
he is a fat cat writing to fat cats. can he be another old wieldbeast seeking green pastures? may be but he seems to be in perpetual green grasses.
 
Asante kwa tahadhari. Ila hakuna nchi iliofanikiwa kiuchumi bila kuumia. No pain no gain.

Sure, kinachoumiza kwetu ni kwamba yanakuwa maumivu ya upande mmoja, tunazuga kulalamika wote ila wengine wanalalamika kinafiki. Wakiwa ndani mwao wanatucheka jinsi wanavyotutumia kujineemesha wao.
 

Then he deserves to be a messenger in a chamber of commerce office or a messenger in a diplomatic mission not a politician
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…