Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?
Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
Juma Mwapachu is a 73 year old man who is only known in top government official circles.He is not known by CCM members.So we don`t even feel his absence.What he has written has no weight in the hearts of many Tanzania voters because they don`t know him or his high life living styles.
Mkuu tunaelemishana, ujinga unaondoka kwa kuelimishwa, nielimishe niwe na uelewa kama wako ili nimpe kula(ra) unayemtaka wewe!
Ukiniacha nipaita hivi na ujinga wangu unaweza kupoteza kura amabyo kama ungetumia effort ndogo tu ungefanikiwa kuipata.
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?
Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
Nikwambie tu kwamba nchi haiongozwi na mtu, inaongozwa na mfumo, na chama. CHADEMA ni chama chenye itikadi zake na sera zake tofauti kabisa na za CCM.
Tuombe Mungu atupe nafasi ya kumwona mkombozi wa hili taifa, lakini Lowassa bado sana kuwa mkombozi (kimoyo moyo unakubaliana na mimi).
Ni vile tu siwezi kuichagua CCM, lakini Lowassa hawezi kuwa mkombozi wa hili taifa, never!
my dear friends, ukawa and lowassa supporters. We have five days to go before the election of our lives. We are all mobilised and galvanised to vote ccm out of power.
our resolve and commitment is to change a government that has failed to transform our lives. We need a new government better able to deliver on our wishes and expectations.edward ngoyai lowassa is the person to transform our miserable lives; to bring happy faces to us and our families. January makamba has published an article in the mail and guardian of south africa malagning lowassa and accusing him in subtle ways of corruption.
we are not stupid not to flesh out his desperate manoeuvre to distort facts about the richmond issue and in trying to criticise the opposition for embracing lowassa ostensibly in contradiction to its stand on lowassa in 2007.
ccm lacks the effective ammunition to knock lowassa done. Majority tanzanians are decided on lowassa as their next president. They will not be moved by silly and unfounded smear from pedestrian politicians like january makamba who still fail to understand why they never made it in their premature presidential ambitions.
tanzanians love lowassa because they are satisfied of his leadership experience and capabilities. They trust him and trust his guts. They adore the sanctity of his marriage life. Lowassa is not corrupt; there has been no evidence to justify any of the accusations levelled against him.
he did not resign as prime minister early in 2008 on corruption charges. Re-read the mwakyembe report. The opposition has already shown regret for its 'list of shame' mr makamba. They put lowassa's name in the list in 2007 as part of politics against ccm.
on sunday 25 th october tanzanians will make history by electing lowassa their new president. It is so decided and almighty god will ensure an election free of rigging so notoriously practised in our country
Juma Mwapachu is a 73 year old man who is only known in top government official circles.He is not known by CCM members.So we don`t even feel his absence.What he has written has no weight in the hearts of many Tanzania voters because they don`t know him or his high life living styles.
Mkuu una haki ya kunilaumu, CCM wamenifanya Zombie, na kuna kila dalili za kuendelea kunifanya Zombie, kwa sababu, this time ni either uchague CCM Mama (ambayo ndiyo iliyotufikisha kwenye huu umaskini) au CCM Branch (UKAWA) ambayo mgombea wake na baadhi ya wafuasi wake wamemeguka kutoka CCM Mama na wameshiriki moja kwa moja katika kutufikisha hapa.
Uamuzi ni wako.
Ni kweli CCM kanifanyia ufirauni, lakini je huyu Lowassa, Mwapachu, Masha na Sumaye si ni moja ya member wa CCM iliyonifanyia uhuni? Atawezaje kuacha kuendelea kunifanyia uhuni wakati ameshaprove kwamba ni muhuni, kajitenga na wahuni aliokuwa nao, nitaamini vipi kwamba huyu jamaa hajaja kutengeneza kundi lingine la kihuni?
Lowassa hata kama atakuwa rais, maisha ni yale yale, hatakaa aache ufisadi, na maumivu yatakuwa yale yale kwa sababu tunamjua, ni Fisadi na hajawahi kuahidi kwamba atapambana na mafisadi au wala rushwa kwa moyo dhati.
Hivi ni boda boda, Mama lishe wangapi wanaoweza kuelewa alichoandika huyu Mwachupi? Au anafikiri wapiga kura wamo humo JF!
Kama viongozi wenyewe ndiyo hawa ni bora aende tu kwa fisadi Lowasa, kwa maana hata akili hana!
Huyu Balozi Mwapachu anatuchukia sisi pedestrian politicians.
Kweli fulana na KOFIA zimewafanya vibaya sana Unasema MWAPACHU hana AKILI daaah......wekeni akiba ya maneno
Hii elimu yangu niliyopewa unayosema kuwa ni duni mbona ndiyo hiyohiyo ya Mwapachu anaeongea kiingereza kizuri? Namaanisha ni elimu ya chama tawala, kwa hiyo nakushauri tu kwamba maisha ni akili yako tu kichwani kama ulivoona utafauti wangu wa kiingereza kati yangu na Mwapachu wakati wote tumepewa elimu na CCM, so hata ikiingia CHADEMA ni hivo hivo wenye akili wataendelea kuneemeka na wajinga wataendelea kuwa wajinga tena this time mjinga atahenyeka sana.Usitegemee eti mabadiliko yanayohubiriwa basi watu watakula mana kama wana wa Israel la hasha. There is price and sacrifice in that so usiichukulie powa sanaMwapachu huwa anaongea kiingereza ili kiwasiliana na wasomi wenzake na sio kubishana na watu wasio na elimu.
Unalalamika kwa sababu haujui kiingereza, tatizo ambalo ni kwasababu;
1. Hauna elimu au
2. Elimu yako uliopewa ni duni.
Vyote hivyo ni zao la serikali mbovu isio na VISION KITAALUMA! Sio kosa lako. So i guess now you atleast know "WHO NOT TO VOTE FOR"
Taifa letu limefikishwa hapa na kwa sababu ya uroho wa viongozi, kuweka maslahi binafsi kwenye miradi ya kitaifa, rushwa na ubadhirifu wa mali za uma.
Neno ufisadi ni generalization ya yote hayo ya juu, nakuhakikishia kama viongozi wetu wasingejali matumbo yao pekee, sisi kama taifa leo tungukuwa mbali ukilinganisha na resources tulizo nazo.
CDM walituaminisha kwamba wanauchukia ufisadi, wataukomesha. Leo CDM imemchukua Lowassa, habari ya ufisadi haizungumzwi. Itikadi ya chama inasemaje kuhusu ufisadi? Kama inapinga, kwa nini kwenye hizi kampeni zinazoendelea za urais haitamki msimamo wake juu ya ufisadi na mafisadi?
Kwani huyo aliyeiandika hiyo lugha "usiyoielewa" amesema nini? naona unaruka kutaja ufisadi wa Lowasa, mbona kama umemuelewa vile!!!
Siombi kura yako mkuu. Mimi najua nampigia nani. Wewe kama mpaka leo haujui, basi una hali ngumu! Tafakari taratibu tu utajua wa kumpigia ukikosa basi kaa nyumbani iyo siku! Sawa?!
Lini ulianza kujua LOWASA fisadi mmekula vya kutosha hii NCHI sasa imetosha hamna hatimiliki na hii NCHI
Mkuu ukiwa unasoma magazeti ya Uhuru....Habari Leo na Kuangalia TBC na Star TV hutaweza kujua km Chadema wanazungumzia Rushwa kwenye majukwaa yao....so Badili mtazamo wa Media unazofuatilia ndio utaelewa
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?
Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
Nikwambie tu kwamba nchi haiongozwi na mtu, inaongozwa na mfumo, na chama. CHADEMA ni chama chenye itikadi zake na sera zake tofauti kabisa na za CCM.