Message from Juma Mwapachu

Sio kuandika tu hata sura huwa anajipodoa na mkorogo ili aonekane kama mzungu.Ana UZUNGUPHOBIA
Ukisema -phobia maanake anakichukia kitu tajwa. Uzunguphobia maanake anachukia uzungu. Ulipaswa kutumia -philia yaani uzunguphilia.
-phobia (chukia)
-philia (penda)
 
But he knows how crooked they are and is therefore admonishing all Tanzanians to beware of them (CCM)...poor man you are!!...do not read between the lines!

Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

Chagua lowassa na wewe utajua kama wengine kwa sababu mambo ni ELIMU,ELIMU,ELIMU.
 
Ukisema -phobia maanake anakichukia kitu tajwa. Uzunguphobia maanake anachukia uzungu. Ulipaswa kutumia -philia yaani uzunguphilia.
-phobia (chukia)
-philia (penda)

Asante kwa kumpa elimu huyo. Halafu ndo huyu anashabikia Mafisiem tena kwa mapovu!!
 
Hivi ni boda boda, Mama lishe wangapi wanaoweza kuelewa alichoandika huyu Mwachupi? Au anafikiri wapiga kura wamo humo JF!

Kama viongozi wenyewe ndiyo hawa ni bora aende tu kwa fisadi Lowasa, kwa maana hata akili hana!
 
january makamba ndio mwana ccm mwenye akili kuliko wote kwa sasa yaani ndio mkazi bora wa lumumba
 
Chagua lowassa na wewe utajua kama wengine kwa sababu mambo ni ELIMU,ELIMU,ELIMU.

Tuombe Mungu atupe nafasi ya kumwona mkombozi wa hili taifa, lakini Lowassa bado sana kuwa mkombozi (kimoyo moyo unakubaliana na mimi).

Ni vile tu siwezi kuichagua CCM, lakini Lowassa hawezi kuwa mkombozi wa hili taifa, never!
 
Agreed comrade.
 
Haya maneno yako umewaandikia Watanzania wangapi bwna Mwapachu??,,,hivi huoni kama Watanzania lugha yao ni kiswahili? Na hapa wametoka kapa??
Sielewi waliokuwa sehemu ya serikali kwa miaka mingi wanaposema tuiondoe serikali imeshindwa kuperform. Kwann hawakuona okay mapema wakti nao walikuwa sehemu ya upo? Wanahamisha uozo sehemu moja na kuipeleka kwingine. Tuwaaminije? Nilifikiri wasemaje wa Chadema wangebaki kuwa akina Mnyika, Lema,Msigwa etc Sasa wasemajI wamekuwa akina Masha, Kingine, Sumaye, Mwapachu's etc hawa walishapoteza credibility
 
Haya maneno yako umewaandikia Watanzania wangapi bwna Mwapachu??,,,hivi huoni kama Watanzania lugha yao ni kiswahili? Na hapa wametoka kapa??
Wanaojua wameshafurahi
 
Of course you are too green a rookie and void of gray matter upstairs to understand the calibre of a person like Ambassador Juma Volter Mwapachu; a notable who is who in Tanzania business community and the international diplomatic fraternity; you are dismissed with the contempt that you deserve. bs

Tuombe Mungu atupe nafasi ya kumwona mkombozi wa hili taifa, lakini Lowassa bado sana kuwa mkombozi (kimoyo moyo unakubaliana na mimi).

Ni vile tu siwezi kuichagua CCM, lakini Lowassa hawezi kuwa mkombozi wa hili taifa, never!

Embu toa ujinga hapa! Pita hivi!
 
Kinachonishangaza ni kitendo cha Kinana, na Makamba kuandika Articles kama hizi kwenye Media za nje. Hadhira inayolengwa ni ipi? Ndani kwetu hamna Media zinazoweza ku publish ujinga wao? Ninachokifahamu, hao Outsiders hawaji kutupigia campaign wala kura
 
Nikwambie tu kwamba nchi haiongozwi na mtu, inaongozwa na mfumo, na chama. CHADEMA ni chama chenye itikadi zake na sera zake tofauti kabisa na za CCM.
 
Embu toa ujinga hapa! Pita hivi!

Mkuu tunaelemishana, ujinga unaondoka kwa kuelimishwa, nielimishe niwe na uelewa kama wako ili nimpe kula(ra) unayemtaka wewe!

Ukiniacha nipaita hivi na ujinga wangu unaweza kupoteza kura amabyo kama ungetumia effort ndogo tu ungefanikiwa kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…