Wadau,
Kila ninapopiga simu kutumia line ya Tigo kuna meseji hii inatokea kabla ya kuunganishwa: "Conditional forwarding activated". Ni zaidi ya miezi miwili au mitatu sasa tangu meseji hii ianze kutokea. Na hii ni kwa watu wengi wanaotumia line ya tigo.
Meseji hii inamaanisha nini?