Merry Christmas to all

Hivi wewe kuna wakati unalamba makamasi yako, mbona unajifanya kichaa sometimes. Hivi mimi nilio wataja hapo walikuwa masanamu au miungu ya kipagani, hao miungu wa kipagani ndio sawa na mungu wenu wakristo, ndio sababu wote walizaliwa tarehe 25th December. Yesu sisi tunajua ni Mtume wa Mungu, na tutabaki kumheshimu sio nyie mmemfanya kama kinyago mara mnamfananisha na sanamu, mara yuko uchi kabaki kidogo kuonyesha utupu wake, mara kapigiliwa msalabani hivi nyie wazima kweli. Afu dalili ipi mnasema huyo mnaye mfananisha na Yesu ndio Yesu mwenyewe? Paulo alimuonea wapi Yesu, hebu tupeni tarehe Paulo aliyo onana na Yesu Live.
 
Lugha za mitaani zinakusaidia nini wewe kijana wa muhammadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…