Merry Christmas and Happy New Year 2016 to JF

the locksman

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,102
355
Natoa salaam zangu kwa members na wamiliki wa JF. Ni jukwaa zuri sijawahi kuona hapa TZ.
Nakumbuka tulivopata taabu pale ilipokosekana hewani siku chache zilizopita.
Naomba members tupunguze utani humu ndani, kuna tofauti kubwa kati ya facebook na JF.
Wengine wataongezea yanayo wagusa kudumisha heshima ya JF.
 
Ahsante nimezipokea the locksman ila kumbuka kuna jukwaa la jokes hivo utani utakuwepo tu
 
Last edited by a moderator:
Natoa salaam zangu kwa members na wamiliki wa JF. Ni jukwsa zuri sijawahi kuona hapa TZ.
Nakunbuka tulivopata taabu pale ilipokosekana hewani siku chache zilizopita.
Naomba members tupumguze utani humu ndani, kuna tofauti kubwa Kati ya facebook na JF.
Wengine wataongezea yanayo wagusa kudumisha heshima ya JF.

Asante lakini pia kuna shida kidogo kwenye maandishi natumai unatumia simu mpya ya touch hivyo vidole havijazoea
 
Back
Top Bottom