wakuu na wapenzi wa tamthilia habari,naomba kujua hii tamthilia ya merlin namba 6 tayari imeshatoka na kama imetoka inapatikana wapi,hiyo ni moja.
Mbili,na ile tamthilai ya legend of the seeker eti ndio imeishia season namba mbili tu au kuna nyingine ?
majibu yazinagitie maswali jamani,natanguliza shukrani kwa wataojibu