Mercedes Benz-f 105..mjerumani nimekukubali

joma53

Member
Feb 5, 2021
73
55
Sina mengi.. chombo ndo kama kilivyo hivyo
images%20(11).jpg
images%20(10).jpg
 
I think that the concept car, wametengeneza ku showcase tu a new technology and style. Lakin haijaanza kutengenezwa kwa ajili ya kuuzwa kwa watu. Walitaka tu kuonesha teknolojia mpya na za kisasa kama vile
1. dereva ana chaguo la kutoendesha hata kidogo. Kwa maana kwamba ukiwa na F 015 Luxury in Motion, gari hujiendesha yenyewe.
2. The exterior features a low-slung front end and a smooth, streamlined roof, huku ikiwa na milango ya kibunifu kukufanya kuingia kwenye gari kwa urahisi zaidi. 3. Kuna viti vinne vinavyozunguka vinavyoruhusu kuanzia dereva mpaka abiria kukaa kwa kuangalia ana kwa ana , pamoja na screen sita zilizojengwa kwa usawa kwenye paneli za mbele, za nyuma na za upande.
4. Digital technology ambao huruhusu abiria kuwasiliana na gari kupitia ishara, ufuatiliaji wa macho na screen touch zenye ubora wa hali ya juu.
5. The walnut trim na soft nappa leather merge with the metal and glass ambayo inakupa a truly luxurious experience

PERFORMANCE
1. Yenyewe ina manual and autonomous driving systems
2. Ina smart Body Structure inayo combines carbon-fiber reinforced plastic, aluminum pamoja high-strength steels
3. A PRE-SAFE® Body Structure that inflates on impact, absorbing the energy of a collision
3. Pia bila kusahau ina Electric drive system capabilities

DESIGN
1. Ina front and rear LED modules ambayo huwasiliana na watembea Kwa miguu kama vile, kumruhusu mtu kuvuka Kwa kutoa ishara, "VUKA" gari inaposimama kwenye zebra ama popote
2. Mfumo wa kuketi na kuweza kuzungusha kiti kama viti vya ma ofisini
3. Sakafu ya mbao ya wazi ya walnut
4. Viti vya ngozi vya nappa nyeupe
5. Display screen sita zilizoundwa katika mzunguko wa 360° kukufanya uwe umuzungukwa screen kila mahali
6. Milango ya mtindo wa saloon ambayo inafunguka 90 ° ili kuweza kuingia kwa urahisi ndani ya gari
 
Ni kweli, lakin sasa isn't about how it's look. It's about a technology iliyopo ndani ya gari, kwa maana kwamba ikitengenezwa kwa ajili ya matumizi basi hakuna gari itaifikia kwasasa hata kidogo duniani kwa upande wa technology ya kisasa na comfortability ya hali ya juu kwa dereva na abilia
Upo sahihi but labda kama ina paa hiyo gari....
manake tayari kuna gari zinazopaa angani zipo matengenezoni........
Nadhani hizi ndio zinaweza kuwa latest kwa maana ya technology.......
 
Unajua haya magari ni kwa ajili ya future huko lakini si kwa vizazi vya sasa kwasabab wanaweza wasiyaelewe...Babu yangu hakuwahi kupenda designing ya magari yetu haya ya kisasa yeye zile vintage car or classic car ndo aliziona nzuri lakini sisi tunaona ni design zilizopitwa na wakati
 
Gari za kisasa na zijazo zina mwonekano mbaya zana zinazidi teknolojia tuu.
Nadhan hizi kampuni zinashindana kutoa magari yenye utofauti wa mwonekano.
Ila hari za zaman was the best kwenye design.


Sasa angalia hilo lipo kama PANYA ila uliza bei yake sasa.
Kuna lile la ELON MUSK la Tesla lipo kama box la Sabufa.
 
Back
Top Bottom