Mercedes Benz E190

Malaika-Hakika

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
238
231
Habari wadau kama kichwa kinavyoongea hapo juu nahitaji kununua hilo gari,litahitaji marekebisho madogo maana limekaa mahali kwa muda mrefu kidogo.Plz nahitaji kujua zaidi kuhusiana nalo kutoka kwa wanaolijua kabla sijaingia kichwa kichwa.Nazungumzia maintenance na gharama nyingine.Nashukuru wakuu🤝🤝🤝
IMG_2690.JPG
 
Kwa shingap?

Bei anayoiuza ni affordable kwangu,na matengenezo yake yote nitayamudu.Nataka kujua maintenance yake/ulaji wa mafuta na vitu vingine nisivyovijua juu ya aina hiyo ya Oldxcul Mercedes Benz mkuu....
 
Mkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako.
 
Inawezakana ameiweka kama sampo kiongozi na akumaanishi hiyo hapo kwenye picha kwani hiyo kwenye picha bado iko piru
 
Kiongozi inawezekana upo sawa lakini kuna mambo yanaleta ukakasi nikiyafikiria. Si kwamba namkosoa mtoa mada ila nikifikiria hiyo gari ni classic imetolewa 1982 mwisho ni 1993 na mtoa mada kaandika kuwa gharama za vipuri na matengenezo yake atayamudu,hapo hapo anauilizia masuala kama matumizi ya mafuta ! Yaani umudu matengenezo ya classic car kisha uulizie ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spea?
Halafu uhangaike kutafuta picha mtandaoni wa gari ambalo halikuwa limelengwa kwa RHD market ndo upost picha,kwa nini usipost picha ya unalotaka kununua ?
 
Nadhani mwamba kayaotea yale magari nyuma ya nyumba mzee kamwambia ntafutie million 6 ukute akachukulia kama landlover 109 au baloon...German machine hiyo unanunua million 10 unaagiza vipuri nje kwa million 40 kuipa ule uold school custom ride
 
Mkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako.

Mkuu umekuwa na haraka,nineweka picha ili wanajamii waweze kujua gari ninayoizungumzia sikusema gari husika ni hiyo kwa picha broth' nia ni wenye ufahamu wa hiyo gari wanipe mrejesho wakuu....
 
Kiongozi inawezekana upo sawa lakini kuna mambo yanaleta ukakasi nikiyafikiria. Si kwamba namkosoa mtoa mada ila nikifikiria hiyo gari ni classic imetolewa 1982 mwisho ni 1993 na mtoa mada kaandika kuwa gharama za vipuri na matengenezo yake atayamudu,hapo hapo anauilizia masuala kama matumizi ya mafuta ! Yaani umudu matengenezo ya classic car kisha uulizie ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spea?
Halafu uhangaike kutafuta picha mtandaoni wa gari ambalo halikuwa limelengwa kwa RHD market ndo upost picha,kwa nini usipost picha ya unalotaka kununua ?

Chief bei inayouzwa na gharama za marekebisho yanayohitajika nimeangalia na fundi naweza kumudu,so kuuliza kwa maintenance endelevu si vibaya kutoka kwa waliowahi kulitumia ikiwa pamoja na ulaji wa mafuta.Sioni ajabu kwa kujaribu kufanya research kwa kitu ninachotaka kununua labda tunatofautiana upeo tuu.Gari ipo mjini Mikocheni Regent Estate.
 
aiesee kuna watu wana simu makini zinatoa picha crear,,mkuu umesoma hiyo plate number maandishi yote umeyaona hapo,!!?
Sasa hii techno yangu inashindwaje,,yani nimejaribu mpaka kuziba jicho moja lkn wapi nimeshindwa kusoma,dah,,!!!
Mkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako.
 
aiesee kuna watu wana simu makini zinatoa picha crear,,mkuu umesoma hiyo plate number maandishi yote umeyaona hapo,!!?
Sasa hii techno yangu inashindwaje,,yani nimejaribu mpaka kuziba jicho moja lkn wapi nimeshindwa kusoma,dah,,!!!
Mkuu sidhani kama ni simu yako,maana kwenye simu yangu,nilishindwa kusoma maandishi hayo ya chini 'Aloha State' ila niliweza kusoma hiyo namba na maandishi ya juu "Hawaii" Nikahamia kwenye desktop 5K Imac,hiyo iliweka kila kitu clear kamanda wangu.
 
Ushaambiwa haya,.....

"Mkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako".
Sijakuelewa ulitaka niiabdikeje broth' nadhani ni vyema ukaniandikia wewe mjuaji wa hadithi yangu mtumishi....
 
Habari wadau kama kichwa kinavyoongea hapo juu nahitaji kununua hilo gari,litahitaji marekebisho madogo maana limekaa mahali kwa muda mrefu kidogo.Plz nahitaji kujua zaidi kuhusiana nalo kutoka kwa wanaolijua kabla sijaingia kichwa kichwa.Nazungumzia maintenance na gharama nyingine.Nashukuru wakuu🤝🤝🤝View attachment 1120936
Inakula mafuta vizuri sana hasa ukiipata ya dizeli. Vipuli ni vingi ila bei imechangamka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom