Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,485
- 104,175
Wazee wa British.Ukisikia luxury ndio hiyo mzee na mwenzao Bentley Flying Spur 😅😅
Wazee wa British.Ukisikia luxury ndio hiyo mzee na mwenzao Bentley Flying Spur 😅😅
Kumbe cosmetics tu. AMG ya cc 2000 kwa C Class ni hizi latest gen 2024 sijui. Izo za zamani engine za moto.😅😅 kajua hizo alizo kuwa anatazama ya C63 na C63 S
Mwana nili taka niku tag, anyway rangi gani vile?Mimi Benz naanzia E Class.
Hawakosei, sema kwa luxury kuna majapana Lexus LS class za moto naona humu ndio naelekea kuishiWazee wa British.
kasome tena,au iangalie yenyewe😂😂😂Acha uwoga mkuu. Ya mtoa mada ni C Class ya kawaida sio AMG.
Kaka hapa kaandika aina gani??😅😅 kajua hizo alizo kuwa anatazama ya C63 na C63 S
HajaandikaKaka hapa kaandika aina gani??
Ukweli muandishi ajaandika aina gani 😅Kaka hapa kaandika aina gani??
😅😅 ndio mkuu, hakuna AMG yenye cc 2000 ile ni shombo la AMG tuKumbe cosmetics tu. AMG ya cc 2000 kwa C Class ni hizi latest gen 2024 sijui. Izo za zamani engine za moto.
Mwana nili taka niku tag, anyway rangi gani vile?
sina ushamba huo wa ki makonda, chuma ime nyooka hiyo.Unataka kuja kunuteka?
New York True Blue of course.
Fanya mambo mwana.sina ushamba huo wa ki makonda, chuma ime nyooka hiyo.
My time is coming!
Hizo PiaUnyama sana huu full burdan, ila muanze leta na za C250, C300 n.k hizi za 200 zimekuwa kama sale 😅
IpoHauna ya rangi ya silver kama hii?
C300 inaenda ngapi ?Hizo Pia
Ipo
😂😂😂 maandishi tu. Alipitiwa. 2016 AMG ni V6 na V8. Engine kubwa sana.kasome tena,au iangalie yenyewe😂😂😂
Pia madalali wengi hawazijui gari hasa wa hapa kwetu😂😂😂 maandishi tu. Alipitiwa. 2016 AMG ni V6 na V8. Engine kubwa sana.
2014 Inakwenda Kwa Milioni 60 Na UsajiliC300 inaenda ngapi ?
Ya mwaka gani
Iyo Imekuja Na Package Za AMG Na Wala Sio Kama Nilipitiwa😂😂😂 maandishi tu. Alipitiwa. 2016 AMG ni V6 na V8. Engine kubwa sana.
Iyo Imekuja Na Package Za AMG😂😂😂 maandishi tu. Alipitiwa. 2016 AMG ni V6 na V8. Engine kubwa sana.