Car4Sale 2019 MERCEDES BENZ GLC 220D YA DIESEL IKO SOKONI

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
649
Reaction score
568
Bei/Price🏷️👉🏾TSH 113M
Call📞+255 (0) 747 999 927

MERCEDES BENZ GLC 220d

Year: 2019
Engine: 1,950Cc
Mileage: 81,000+Km
Fuel Used⛽: DIESEL

Transmission: AUTOMATIC

✨Sport Rims
✨Back Camera
✨Push To Start

✅100% Duty Paid
✅Swap Deals Available
✅Zero Registration Cost

IMG-20260903-WA0098(1).jpg
IMG-20260903-WA0123.jpg
IMG-20260903-WA0131.jpg
IMG-20260903-WA0129.jpg
IMG-20260903-WA0130.jpg
IMG-20260903-WA0127.jpg
IMG-20260903-WA0122.jpg
 
Mkuu hivi why bei za magari bongo ni mkasi namna hii unakuta gari ya 10years ago +mileage ila bei noma shida nini??
 
Dah kweli bongo nyoso
Yapo magari ya kawaida tu kodi 40m 50m mara 35m na magari ya uongo tu ndio maana Watanzania wanajificha kusifia vigari vidogo huku magari mazuri yakienda Zambia,Malawi na Zimbabwe wenye kodi nafuu yanapita transit kwetu..
 
Kwahiyo mkuu kwa uzoefu wako gari iliyotengenezwa 2019 kodi kwa ujumla inaweza kufanana na bei uliyonunulia gari?
 
Inategemeana na aina ya gari ila kwa hizi Luxury inawezekana au truck sasa hivi Scania XT ya 2019 kodi ni kuanzia 65m za kitanzania naona hawataki tutumie Scania.
 
Kwahiyo mkuu kwa uzoefu wako gari iliyotengenezwa 2019 kodi kwa ujumla inaweza kufanana na bei uliyonunulia gari?
Tena lakitambo ndio unanyooshwa zaid na kodi ya uchakavu ni soo bongo gar ni anasa wanaona vigogo wetu wala kodi
 
Aisee ni hatari mno...nilijua gari iliyotengenezwa 2019 itakuwa kodi ni nusu ya bei uliyonunulia gari
 
Kwahiyo kwa kampuni ya Toyota nako je
Toyota wenye nafuu ni pick up double cabin za kuanzia 2023 naona kodi yao ni 22m ila pick up hizo hizo miaka ikishuka chini zipo za 34m.
Toyota hiyo hiyo Fortuner ya 2020 wanataka kodi 39m na ukichukua ya 2022 kodi inaenda kuanzia 42m na kuendelea wameziweka kwenye makundi ya magari ya Starehe..
Rav 4,Urban Cruiser au cross kodi yake kichefuchefu.
 
Aisee tunafanyiana nongwa kweli ili tusimiliki magari
 
Toyota wenye nafuu ni pick up double cabin za kuanzia 2023 naona kodi yao ni 22m ila pick up hizo hizo miaka ikishuka chini zipo za 34m.
Toyota hiyo hiyo Fortuner ya 2020 wanataka kodi 39m na ukichukua ya 2022 kodi inaenda kuanzia 42m na kuendelea wameziweka kwenye makundi ya magari ya Starehe..
Rav 4,Urban Cruiser au cross kodi yake kichefuchefu.
Gari ya 2022 kodi iwe milion 42 huu ni ukatili sana
 
Bei/Price🏷️👉🏾TSH 113M
Call📞+255 (0) 747 999 927

MERCEDES BENZ GLC 220d

Year: 2019
Engine: 1,950Cc
Mileage: 81,000+Km
Fuel Used⛽: DIESEL

Transmission: AUTOMATIC

✨Sport Rims
✨Back Camera
✨Push To Start

✅100% Duty Paid
✅Swap Deals Available
✅Zero Registration Cost

View attachment 3662788View attachment 3662789View attachment 3662790View attachment 3662791View attachment 3662792View attachment 3662793View attachment 3662794
Tusubiri ifike kwa Magari used Dar tuinunue kwa million 20 na laki 8 tajiri.
 
Yapo magari ya kawaida tu kodi 40m 50m mara 35m na magari ya uongo tu ndio maana Watanzania wanajificha kusifia vigari vidogo huku magari mazuri yakienda Zambia,Malawi na Zimbabwe wenye kodi nafuu yanapita transit kwetu..
Hao Malawi si wanatumia bandari yetu , au Kuna tofauti kati ya Kodi ya bandari na Kodi ya gari kutumia nchini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom