Menyu Kali ya Kibongo

hiyo kitu imetulia vibata mnoooo

ugali Dagaaa na mchicha pembeni ndimu na pilipili kwa mabaaali
 
Da,mkuu wewe bado unakula sembe tu mpaka sasa?
Lazima utakua na yale matatizo tu wewe.
Kula dona bhana.

dona lipi? la haya mahindi yaliyowekwa dawa na kukaa ghalani mwaka mzima? ni afadhali ya sembe. dona kavune mahindi mwenyewe usage mwenyewe,dona la kuuziwa mnalishwa sumu tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…