kweli kabisa mkuu ila yale matatizo sina ni kwa leo tu
mie msabato sili prons
kibongo bongo au hujaulizwa umeshapata menyu>nilijua nitakutana na orodha (menu) ya vyakula. Kumbe kibongobongo menu ndio chakula.. Hahaaa mie najua menu ni ile orodha ya vinavyopatikana either chakula au mengineyo. Mfano kwenye simu pia huwa kuna menu...
biashara matangazo mkuuKwa bahati mbaya nashindwa kudownload picha kwa hiki kisimu changu, otherwise ningeweka hapa picha la menu yangu ya dona.
Yani mpaka wife anaomba nimtafutie msaidizi japo awe anapumzika mara moja moja.
Sebene limekua zito kweli kweli mkuu.