Menu ya mpesa

dahhhh kazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!
 
ha ha ha, hubbyake.. lol mbona nipate huyo wa kumuita hubby ake
 
Hii menu ipo kwenye m-pesa kweli? any way, na je ukitoa zaidi ya milioni utaitwa nani?
 
Sijui kabuni nani hii messagezn coz ndo ina trend kwenye social networks right now..
 
Mbona cjaona viwango vya kuwaita majina kama laazizi,muhibu wa roho,nyongo mkalia inni,asali wa moyo.....hivyo vitakuwa kiasi gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…